Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaelekeza uendeshaji wa sekondari zake za bweni

SERIKALI inatarajiwa kutoa utaratibu wa namna wanafunzi wa shule za Serikali za mabweni, watakavyosoma huku ikionya wakuu wa shule watakaodai ada au michango ya aina yoyote, kwamba watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bweni sekondari Tabora laungua

Bweni moja la Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Petro Manispaa ya Tabora, limeungua na kuteketeza mali za wanafunzi ambazo thamani yake haijajulikana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wateketeza bweni Sekondari ya Erikisongo

WANAFUNZI 100 wa Shule ya Sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli mkoani Arusha, wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya bweni lao kuteketea kwa moto jana asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha...

 

10 years ago

Michuzi

TANAPA YAJENGA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU.

Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya Sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA). Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI, IRINGA


MOTO mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa .Tukio hilo limetokea muda wa saa 4 jana asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakiendelea na masomo.Kamanda wa jeshi la Zimamoto Mkoani Iringa, Inspekta Kennedy Komba alisema kuwa bweni hilo limeteketea lote na kuunguza mali zilizokuwamo kwenye bweni hilo na chache kuokolewa na wananchi waliowahi kufika eneo la tukio kusaidia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaelekeza mawasiliano vijijini

SERIKALI imezitaka mamlaka binafsi za mawasiliano nchini kuongeza ushirikiano na ushiriki katika kutoa huduma mbalimbali za mawasiliano, hasa vijijini na maeneo yasiyokuwa na mvuto wa kibiashara ili kuongeza chachu ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaelekeza nguvu Morogoro

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka matengenezo ya eneo la Daraja Mkundi lililozolewa na mafuriko likamilike haraka ili magari yaanze kupita. Dk Magufuli jana alitembelea eneo la Dumila na baada ya kujionea hali halisi alimwagiza Kaimu Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Crispianus Ako na watendaji wengine waandamizi kutoka Tanroads na Wizara ya Ujenzi kuwa hapo muda wote wakati kazi za kurejesha mawasiliano zikiendelea.

 

11 years ago

Michuzi

Bweni la shule ya Sekondari Erikisongo Wilayani Monduli lateketea kwa moto leo

Kiasi cha wanafunzi 100 wa shule ya sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na moto leo (Jumatano) asubuhi.
Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu ya umeme ilitokea wakati wanafunzi wote wako darasani.
Hakuna mtu yoyote aliyedhurika lakini mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea. Kikosi Cha zimamoto kutoka Arusha kilifika wakati tayari mabweni hayo yameshateketea.
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh Edward Lowassa...

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NURU YA WILAYANI SIHA.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari Nuru iliypo wilayani Siha alipowasili kwa ajili ya makabidhiano na ufunguzi wa Bweni la wananfunzi lililojengwa kwa ufadhili wa hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA).
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo.Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Nuru wakimsikiliza RC Gama (hayupo pichani).Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(Suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa Bweni.Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia .
Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo.Mkuu wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi ya Mbuzi dume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani