Serikali yaelekeza nguvu Morogoro
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ametaka matengenezo ya eneo la Daraja Mkundi lililozolewa na mafuriko likamilike haraka ili magari yaanze kupita. Dk Magufuli jana alitembelea eneo la Dumila na baada ya kujionea hali halisi alimwagiza Kaimu Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Crispianus Ako na watendaji wengine waandamizi kutoka Tanroads na Wizara ya Ujenzi kuwa hapo muda wote wakati kazi za kurejesha mawasiliano zikiendelea.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Sep
Azam yaelekeza nguvu Ligi Kuu
KLABU bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC wameahirisha mechi yao ya kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting na sasa macho yao yanatazama kutulia na kujipanga kwa ajili ya maandalizi ya ligi.
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Serikali yaelekeza mawasiliano vijijini
SERIKALI imezitaka mamlaka binafsi za mawasiliano nchini kuongeza ushirikiano na ushiriki katika kutoa huduma mbalimbali za mawasiliano, hasa vijijini na maeneo yasiyokuwa na mvuto wa kibiashara ili kuongeza chachu ya...
9 years ago
Habarileo12 Dec
Serikali yaelekeza uendeshaji wa sekondari zake za bweni
SERIKALI inatarajiwa kutoa utaratibu wa namna wanafunzi wa shule za Serikali za mabweni, watakavyosoma huku ikionya wakuu wa shule watakaodai ada au michango ya aina yoyote, kwamba watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-asdGjl0oqc4/VCbQYK2zoXI/AAAAAAABJzM/5e82NxEHwPw/s72-c/s4.jpg)
SIMBA YATOSHANA NGUVU YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLISI MOROGORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-asdGjl0oqc4/VCbQYK2zoXI/AAAAAAABJzM/5e82NxEHwPw/s1600/s4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lML_MAwTewA/VCbQcM2Q8kI/AAAAAAABJzk/ziUNO3cuYrM/s1600/s7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-VOLShpaqltA/VCbQdWNeE5I/AAAAAAABJzs/WbuRh-qP7Zs/s1600/s8.jpg)
10 years ago
Habarileo23 Feb
Serikali kuipa nguvu NACTE
SERIKALI imesema itaendelea kusaidia upatikanaji wa rasilimali watu na fedha ili kuliwezesha Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kutekeleza malengo yake ya kukuza stadi na maarifa kwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu shule za msingi na za sekondari.
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Serikali yaongeza nguvu kuikabili Ebola
Yatenga sh. bilioni 1.8 kupambana nayo
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imeendelea kuchukua tahadhari kutokana na ugonjwa wa Ebola kusambaa kwa kasi kubwa na kubisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Ugonjwa huo ambao uliweka mizizi katika nchi za Afrika Magharibi, umeua mamia ya watu na kasi yake imezidi kuyatisha mataifa mbalimbali duniani.
Kutokana na tishio hilo, serikali imefunga vifaa vya kisasa katika viwanja vikubwa vya ndege nchini ili kudhibiti ugonjwa huo kuingia.
Tayari mashine maalumu...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola
SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Croatia yaelekeza wahamiaji Slovenia
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Bunge dhaifu linaweza kuidhibiti serikali yenye nguvu?
KUNA mambo mawili yamenifanya nitafakari tena kuhusu uhalisia wa kazi za Bunge. Na kwa uhalisia nilikuwa naangalia kazi yake kuidhibiti serikali. Hii ni kazi kubwa ya sana na muhimu kwa Bunge. Lakini inaelekea...