Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaongeza nguvu kuikabili Ebola



 Yatenga sh. bilioni 1.8 kupambana nayo 
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imeendelea kuchukua tahadhari kutokana na ugonjwa wa Ebola kusambaa kwa kasi kubwa na kubisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Ugonjwa huo ambao uliweka mizizi katika nchi za Afrika Magharibi, umeua mamia ya watu na kasi yake imezidi kuyatisha mataifa mbalimbali duniani.
Kutokana na tishio hilo, serikali imefunga vifaa vya kisasa katika viwanja vikubwa vya ndege nchini ili kudhibiti ugonjwa huo kuingia.
Tayari mashine maalumu...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola

SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yajiandaa kuikabili Ebola

KUENEA kwa ugonjwa wa ebola katika mataifa ya Afrika Magharibi, kumeifanya serikali kuchukua tahadhari. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa Wizara ya Afya na...

 

10 years ago

Michuzi

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), yajipanga kuikabili Ebola

Mganga Mkuu wa Zahanati ya TPA, Dkt. Mkunde Mlay akifungua mafunzo ya namna ya kukabiliana na Ebola kwa Wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wa vitengo vya afya, zimamoto na ulinzi. Mafunzo hayo yalitolewa hivi karibuni bandarini hapo na madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.Dkt. Juma Mfinanga wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akieleza jambo kwa wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam namna ya kukabiliana na Ebola. Mfano wa vazi maalumu la kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ebola...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneKUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaongeza kasi upatikanaji maji

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa Mongolandege, Martha Singano baada ya kuzindua mradi wa maji ya kisima katika mtaa huo Manispaa ya Ilala, ikiwa ni uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Maji. (Picha na Aron Msigwa, Maelezo).SERIKALI imekamilisha mipango ya kuvuta maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya wakazi wa mjini ya Tabora, Nzega na Igunga katika Mkoa wa Tabora.

 

10 years ago

GPL

SENSA YA VIWANDA TANZANIA: SERIKALI YAONGEZA MUDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar Es salaam kueleza uamuzi wa Serikali kuongeza muda wa Sensa ya Viwanda Tanzania Bara hadi Agosti 31,2015 na hatua zitakazochukuliwa kufuatia viwanda 366 kushindwa kuwasilisha takwimu za uzalishaji kwenye Madodoso ya Sensa. Kaimu Meneja wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkoa wa Dar es salaam Bw. Albert Kapala akitoa ufafanuzi wa lengo la...

 

11 years ago

BBCSwahili

Liberia yazidiwa nguvu na ebola

Waziri mmoja wa Liberia akiri kuwa ebola imetapakaa zaidi kushinda walivyokisia, lakini wanajikaza kupambana nayo

 

10 years ago

Habarileo

Nchi za EAC zaunganisha nguvu kukabili ebola

MAWAZIRI wa Afya wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameweka mikakati madhubuti ya kupambana na ugonjwa wa ebola ili ugonjwa huo usiweze kuingia kirahisi katika nchi hizo.

 

9 years ago

Michuzi

NCHI ZA AFRIKA ZIWEKEZE NGUVU YA PAMOJA KUPAMBANA NA EBOLA

 Dokta Julius Julian Lutwan kutoka Uganda akitoa mada kwa wadau mbalimbali wa afya kutoka katika mashirika na taasisi mbalimbali za Afrika na Ulaya zinazoshughulikia masuala ya afya katika warsha ya siku mbili inayofanyika mkoani Arusha kujadili njia bora za kupambana na magonjwa ya mlipuko kama Ebola na mengineyo katika bara la Afrika na kwingineko dunia.
Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa mambo ya afya ya CORDS ya nchini Ufaransa Professa Nigel Lightfoot akitoa mada kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani