Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SENSA YA VIWANDA TANZANIA: SERIKALI YAONGEZA MUDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar Es salaam kueleza uamuzi wa Serikali kuongeza muda wa Sensa ya Viwanda Tanzania Bara hadi Agosti 31,2015 na hatua zitakazochukuliwa kufuatia viwanda 366 kushindwa kuwasilisha takwimu za uzalishaji kwenye Madodoso ya Sensa. Kaimu Meneja wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkoa wa Dar es salaam Bw. Albert Kapala akitoa ufafanuzi wa lengo la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi sensa ya viwanda yakamilika, Serikali yawataka wadau kutoa ushirikiano

NBS - 1

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa  akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23, 2015. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana eneo la  Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es salaam.

Na Aron Sigma – MAELEZO

SERIKALI imesema kuwa maandalizi ya Sensa ya Viwanda ya mwaka 2013 itakayofanyika nchi nzima kuanzia Februari 23 mwaka huu yamekamilika na  kuwataka...

 

10 years ago

GPL

MAANDALIZI SENSA YA VIWANDA YAKAMILIKA, SERIKALI YAWATAKA WADAU KUTOA USHIRIKIANO

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa  akifunga rasmi mafunzo ya siku 14 ya wasimamizi na wadadisi wa Sensa ya viwanda 2013 itakayofanyika nchini nzima kuanzia Februari 23, 2015. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana eneo la  Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika jijini Dar es salaam.
Makamu Mkuu wa chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Dkt. Tumaini Katunzi akizungumza na wasimamizi na...

 

10 years ago

Michuzi

WAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WA SENSA YA VIWANDA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Maria Bilia akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wadadisi 200 wa Sensa ya Viwanda itayofanyika nchi nzima mwezi huu. Mafunzo hayo yanafanyika chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo eneo la Changanyikeni jijini Dar es salaam.Mkuu wa chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo eneo la Changanyikeni jijini Dar es salaam Prof.Ngalinda Innocent akizungumza na wadadisi watakaokusanya takwimu za Sensa ya Viwanda mwezi huu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa viwanda watakiwa kutoa ushirikiano kwa wadadisi wanaokusanya taarifa za sensa ya viwanda nchini

PICHA NAMBA 1

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mkoani Dodoma kuhusu maendeleo ya zoezi la Sensa ya Viwanda linalofanyika nchini. Kushoto kwake ni Idd Mruke, Meneja Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mkoa wa Dodoma.

PICHA NAMBA 2

Meneja wa Takwimu za Biashara na Utalii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, ambaye ni Msimamizi wa Sensa ya Viwanda nchini akiwaelezea waandishi wa habari leo mkoani Dodoma kuhusu vigezo vilivyotumika...

 

10 years ago

GPL

WITO UMETOLEWA KWA WAMILIKI WA VIWANDA KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WANAOKUSANYA TAARIFA ZA SENSA YA VIWANDA NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mkoani Dodoma kuhusu maendeleo ya zoezi la Sensa ya Viwanda linalofanyika nchini. Kushoto kwake ni Idd Mruke, Meneja Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mkoa wa Dodoma. Meneja wa Takwimu za Biashara na Utalii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, ambaye ni Msimamizi wa Sensa ya Viwanda nchini akiwaelezea...

 

10 years ago

Habarileo

TFF yaongeza muda wa usajili

SHIRIKISHO la soka Tanzania (TFF) limesogeza mbele dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu, daraja la kwanza na la pili na sasa litafunga Agosti 20 badala ya jana kama ilivyopangwa awali.

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Mikopo yaongeza muda wa kuwasilisha maombi

Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwasilisha maombi yao hadi mwishoni mwa mwezi huu (31 Julai, 2015).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo (Jumatano, Julai 15, 2015) na Mkurugenzi Mtendaji wa (HESLB) Bw. George Nyatega, hatua hiyo imechukuliwa ilikuwapa fursa wombaji ambao hawajakamilisha kufanya hivyo.
“Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani