Serikali yaongeza nguvu kukabili ebola
SERIKALI imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege. Vipimo hivyo vitafanywa ili kubaini iwapo wana vimelea vya ugonjwa huo, kwa kutumia mashine za thermoscan zinazotarajiwa kuingia nchini wiki mbili zijazo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Serikali yaongeza nguvu kuikabili Ebola
Yatenga sh. bilioni 1.8 kupambana nayo
NA RABIA BAKARI
SERIKALI imeendelea kuchukua tahadhari kutokana na ugonjwa wa Ebola kusambaa kwa kasi kubwa na kubisha hodi katika nchi za Afrika Mashariki.
Ugonjwa huo ambao uliweka mizizi katika nchi za Afrika Magharibi, umeua mamia ya watu na kasi yake imezidi kuyatisha mataifa mbalimbali duniani.
Kutokana na tishio hilo, serikali imefunga vifaa vya kisasa katika viwanja vikubwa vya ndege nchini ili kudhibiti ugonjwa huo kuingia.
Tayari mashine maalumu...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Nchi za EAC zaunganisha nguvu kukabili ebola
MAWAZIRI wa Afya wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameweka mikakati madhubuti ya kupambana na ugonjwa wa ebola ili ugonjwa huo usiweze kuingia kirahisi katika nchi hizo.
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Serikali yajipanga kukabili Ebola
SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...
11 years ago
Habarileo01 May
EAC kukabili ugaidi kwa nguvu zote
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, amesema nchi wanachama katika jumuiya hiyo, zitatumia rasilimali zao kukabiliana na ugaidi na uhalifu unaozikabili.
10 years ago
Habarileo05 Sep
Tanzania imejipanga kukabili ebola
RAIS Jakaya Kikwete, amesema Tanzania imejipanga vyema kukabiliana na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa ebola, huku akisisitiza kuwa hadi sasa hakuna mgonjwa aliyebainika kuwa na ugonjwa huo nchini. Akizungumza na wazee wa Dodoma mkoani hapo jana, Rais Kikwete alisema kwa sasa ugonjwa huo umekuwa tishio hasa kwa nchi za Afrika Magharibi, ikiwemo Guinea, Sierra Leone na Liberia na tayari wataalamu wametangaza usipodhibitiwa, huenda ukawashinda na kuwa ugonjwa hatari kama ilivyo kwa ugonjwa...
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
WHO:Itachukua mda kukabili Ebola
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme
KUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo18 Mar
Serikali yaongeza kasi upatikanaji maji
SERIKALI imekamilisha mipango ya kuvuta maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya wakazi wa mjini ya Tabora, Nzega na Igunga katika Mkoa wa Tabora.
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Obama aomba fedha kukabili Ebola