Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama aomba fedha kukabili Ebola

Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa chama cha Congress kupitisha kiasi cha dola bilion 6 ili kuikabili Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Obama aomba fedha kukabili Ebola.

Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa chama cha Congress kupitisha kiasi cha dola bilion 6 kwa lengo la kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi.

Obama amesema hayo muda mfupi baada ya kutembelea taasisi ya taifa afya nchini humo,ambapo aliwapongeza madaktari na wanasayanzi kwa kazi nzuri wanayoifanya kukabiliana na ugonjwa huo.

Mazishi wagonjwa wa Ebola

Inakadiriwa kuwa takriban watu 7,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola katika nchi za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria yatenga fedha kukabili Ebola

Nigeria imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kama janga la kitaifa na kutenga dola millioni 11 kukabiliana na ugonjwa huo

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili

GU9A8625

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...

 

9 years ago

BBCSwahili

Cameron aomba idhini kukabili IS Syria

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ameiomba bunge idhini ya kukabili IS nchini Syria ilikumaliza uwezo wake wa kuivamia

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aomba msaada wa dharura

Anahitaji dola bilioni 3.7 za dharura kusaidia kukabiliana na ongezeko la watoto waliohama peke yao kutoka Amerika ya kati

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama aomba ushirikiano dhidi ya IS

Rais Obama ametaka mataifa kushirikiana katika vita dhidi ya makundi yanayoeneza itikadi kali za kIdini kama I-S

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aomba pesa awasaidie waasi

Rais Barrack Obama ameiomba Congress kiasi cha dola milioni mia tano kugharamia mafunzo na kuwapatia silaha Waasi wa Syria.

 

11 years ago

CloudsFM

Rais Obama aomba pesa awasaidie waasi

Rais Barack Obama wa Marekani
Rais wa Marekani, Barrack Obama ameliomba Bunge la Congress kiasi cha dola milioni mia tano kwa ajili ya kugharamia mafunzo na kuwapatia silaha Waasi wa Syria.
Bado haijajuliakana ni aina gani ya msaada wa kijeshi ambao Marekani itautoa japo kulikuwa na maombi ya waasi hao wa Syria kuhusu kupewa makombora ya kubeba ya kutungulia ndege ambayo yalitupiliwa mbali kwa kuhofia silaha hizo zisiwaendee wanamgambo wa makundi ya kigaidi.
Ikiwa Bunge hilo litaridhia...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge wa Busega kukabili wanaopora fedha za miradi

Dk Titus KamaniMBUNGE wa jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk Titus Kamani amesema hatavumilia watu wanaokula fedha za miradi ya maendeleo jimboni humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani