JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA AWASHAURI VIJANA KUFANYA KAZI NA MASHIRIKA YA KIMATAIFA
9 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NCHINI KUTEMBEA WAGENI WA KIMATAIFA MAKUMBUSHO YA TAIFA
9 years ago
Habarileo30 Oct
Serikali yaajiri 588 kukabili ujangili
WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa ajira mpya kwa watumishi wapya wapatao 588 ikiwa idadi kubwa miongoni mwao ni watumishi wa kada ya Ofisa Wanyamapori na Wahifadhi Wanyamapori, lengo likiwa ni kukabiliana na mashambulio mengi kutoka kwa majangili.
10 years ago
Dewji Blog09 Nov
Azimio la Arusha la kukabili ujangili lapita
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza kwenye mkutano wa kikanda unaozungumzia ujangili na hifadhi endelevu ulioshirikisha mataifa ya Afrika, wajumbe wa Bunge la Marekani (Congress) Mashirika ya Umoja wa Mataifa, mataifa washirika wa maendeleo, wanazuoni na wawakilishi wa taasisi zisizo za serikali uliomalizika jana jijini Arusha na kufungwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda. Kushoto Mwenyekiti wa mkutano wa kikanda wa...
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Obama aomba fedha kukabili Ebola
10 years ago
StarTV03 Dec
Obama aomba fedha kukabili Ebola.
Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa chama cha Congress kupitisha kiasi cha dola bilion 6 kwa lengo la kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi.
Obama amesema hayo muda mfupi baada ya kutembelea taasisi ya taifa afya nchini humo,ambapo aliwapongeza madaktari na wanasayanzi kwa kazi nzuri wanayoifanya kukabiliana na ugonjwa huo.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/29/141129163449_ebola_death_304x171__nocredit.jpg)
Inakadiriwa kuwa takriban watu 7,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola katika nchi za...
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Cameron aomba idhini kukabili IS Syria
9 years ago
Habarileo18 Sep
Ndege maalumu kukabili ujangili yaingia nchini
SERIKALI imeombwa kuridhia matumizi ya ndege maalumu zisizo na rubani kutoka kampuni ya Martin UAV ya Marekani, kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya kudhibiti ujangili katika hifadhi mbalimbali za taifa, hususani ule unaowalenga wanyama aina ya tembo.
10 years ago
Dewji Blog28 Nov
WWF watoa mabango ya kukabili ujangili nchini
Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar es salaam, Bw. Moses Malaki (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla ya kukabidhiwa mabango yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama (kushoto), Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na...