Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaajiri 588 kukabili ujangili

WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa ajira mpya kwa watumishi wapya wapatao 588 ikiwa idadi kubwa miongoni mwao ni watumishi wa kada ya Ofisa Wanyamapori na Wahifadhi Wanyamapori, lengo likiwa ni kukabiliana na mashambulio mengi kutoka kwa majangili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yanunua bunduki 500 za AK47 kukabili ujangili

>Siku moja baada ya Tanzania kutajwa na Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) kuwa kinara wa biashara ya meno ya tembo Afrika Mashariki, Serikali imelipia kodi na kukabidhiwa bunduki 500 aina ya AK47 ili kukabiliana na ujangili katika hifadhi na mapori ya akiba nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili

GU9A8625

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)

Na Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Azimio la Arusha la kukabili ujangili lapita

IMG_5047

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza kwenye mkutano wa kikanda unaozungumzia ujangili na hifadhi endelevu ulioshirikisha mataifa ya Afrika, wajumbe wa Bunge la Marekani (Congress) Mashirika ya Umoja wa Mataifa, mataifa washirika wa maendeleo, wanazuoni na wawakilishi wa taasisi zisizo za serikali uliomalizika jana jijini Arusha na kufungwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda. Kushoto Mwenyekiti wa mkutano wa kikanda wa...

 

9 years ago

Habarileo

Ndege maalumu kukabili ujangili yaingia nchini

SERIKALI imeombwa kuridhia matumizi ya ndege maalumu zisizo na rubani kutoka kampuni ya Martin UAV ya Marekani, kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya kudhibiti ujangili katika hifadhi mbalimbali za taifa, hususani ule unaowalenga wanyama aina ya tembo.

 

11 years ago

Habarileo

Bilionea Buffet atoa helikopta kukabili ujangili

BILIONEA wa Kimarekani Howard G. Buffett kupitia taasisi yake ametoa msaada zaidi wa kukabiliana na ujangili ikiwemo helkopta pamoja na kusomesha marubani. Msaada huo una thamani ya Shilingi bilioni 3.8.

 

10 years ago

Dewji Blog

WWF watoa mabango ya kukabili ujangili nchini

001

Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wa jijini Dar es salaam, Bw. Moses Malaki (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla ya kukabidhiwa mabango yanayotahadharisha wananchi na wageni waingiao na watokao Tanzania kutojihusisha na shughuli yoyote inayohusiana na ujangili wa wanyama (kushoto), Mkurugenzi wa WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na...

 

10 years ago

GPL

AZIMIO LA ARUSHA LA KUKABILI UJANGILI LAPITA‏

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza kwenye mkutano wa kikanda unaozungumzia ujangili na hifadhi endelevu ulioshirikisha mataifa ya Afrika, wajumbe wa Bunge la Marekani (Congress) Mashirika ya Umoja wa Mataifa, mataifa washirika wa maendeleo, wanazuoni na wawakilishi wa taasisi zisizo za serikali uliomalizika jana jijini Arusha na kufungwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili Ebola

SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili mafuriko

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani