Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yajipanga kukabili mafuriko

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili Ebola

SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...

 

11 years ago

StarTV

Serikali yajipanga kukabili ugonjwa wa Marburg.

Na Projestus Binamungu, Mwanza.

 

Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyeripotiwa kuwa na kirusi cha homa ya Marburg mpaka hivi sasa na imewataka watanzania kuchukua tahadhali.

 

Ugonjwa ambao umeibuka tena nchini Uganda tayari imesababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa wakiwa mahututi.

 

Oktoba, 20 mwaka 2012 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, ilipokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani WHO juu ya uwepo wa mripuko wa ugonjwa wa homa ya Marburg katika nchi jirani ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA

Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu Florens Turuka
-JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUKufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.
Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango...

 

10 years ago

Michuzi

HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA

Kufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.

Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango mbalimbali.

Hatua zilizochukuliwa

Serikali imechukua hatua za haraka kwa kushirikiana na wananchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kukuza utalii

Serikali inakusudia kupitia upya sheria na kanuni za kodi pamoja na mazingira yote ya biashara katika sekta ya utalii kwa lengo la kuwaondolea kero wadau wa sekta hiyo ili kuongeza mchango wake katika pato la taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yajipanga kulipa mifuko ya hifadhi

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka.SERIKALI imesema inaandaa utaratibu wa kulipa fedha zote inazodaiwa na mifuko ya hifadhi ya jamii nchini.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAJIPANGA KUZALISHA BARAKOA ZA KUTOSHA


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akipata ufafanuzi kuhusu mtambo wa kutengeneza Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Bw. Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la uzalishaji kutoka kwa Msimamizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani