Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yajipanga kukabili ugonjwa wa Marburg.

Na Projestus Binamungu, Mwanza.

 

Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyeripotiwa kuwa na kirusi cha homa ya Marburg mpaka hivi sasa na imewataka watanzania kuchukua tahadhali.

 

Ugonjwa ambao umeibuka tena nchini Uganda tayari imesababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa wakiwa mahututi.

 

Oktoba, 20 mwaka 2012 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, ilipokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani WHO juu ya uwepo wa mripuko wa ugonjwa wa homa ya Marburg katika nchi jirani ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili Ebola

SERIKALI imesema itahakikisha hakuna mwananchi atakayefariki kutokana na kukosa huduma katika vituo vya afya pindi atakapobanika kuwa na ugonjwa wa Ebola labda achelewe kufika katika vituo hivyo. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yajipanga kukabili mafuriko

SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inakabiliana na matatizo ya mafuliko yanayojitokeza kipindi cha mvua katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ujenzi,...

 

10 years ago

Vijimambo

Serikali yawaondoa wananchi hofu ya Marburg

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donald Mmbando
Serikali imewatoa hofu wa wananchi kuhusu ugonjwa mpya wa Marburg ambao umelipuka nchini Uganda huku dalili z\ake zikifanana na za Ebola.

Aidha Wizara imewataka wananchi kupuuzia taarifa zinazosambazwa na watu wachache kuwa ugonjwa wa ebola umeingia nchini wakati siyo kweli kwa kuwa Wizara ndio inatakiwa kutoa taarifa hizo.

Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yajipanga kupambana na ugonjwa wa bonde la ufa

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wanapambana kikamilifu na ugonjwa wa bonde la ufa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kukuza utalii

Serikali inakusudia kupitia upya sheria na kanuni za kodi pamoja na mazingira yote ya biashara katika sekta ya utalii kwa lengo la kuwaondolea kero wadau wa sekta hiyo ili kuongeza mchango wake katika pato la taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yajipanga kulinda miundombinu ya gesi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi amesema Serikali itaingia mkataba na vijiji husika ili kulinda miundombinu ya bomba la gesi lililopita kwenye maeneo yao isiharibiwe na kuhujumiwa .

 

11 years ago

Tanzania Daima

ADC yajipanga uchaguzi Serikali za Mitaa

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinatengeneza mikakati mbalimbali ya kushinda viti vingi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu pamoja na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwakani. Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani