Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yajipanga kukuza utalii

Serikali inakusudia kupitia upya sheria na kanuni za kodi pamoja na mazingira yote ya biashara katika sekta ya utalii kwa lengo la kuwaondolea kero wadau wa sekta hiyo ili kuongeza mchango wake katika pato la taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Marekani yazindua mradi wa dola milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania

unnamed

Balozi  wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT  wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa unaolenga kujenga uwezo wa uhifadhi na kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa wanyamapori nchini kote Tanzania,uzinduzi huu ulifanyika jana katika eneo la hifadhi ya wanyamapori linalosimamiwa na jumuiya ya uhifadhi ya wanyamapori {WMA} la Randilen linalopakana na hifadhi ya taifa...

 

9 years ago

Dewji Blog

HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii

__800x800_51d3b4b77dc78

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.

Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utalii kukuza uchumi nchi za Afrika

KATIKA  kukuza  soko la utalii hivi karibuni  Afrika Kusini ilifungua ofisi mjini Lagos nchini Nigeria. Ufunguzi wa ofisi hiyo ni ishara ya mwingiliano wa utalii baina ya nchi za Kiafrika ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa hoteli wahimizwa kukuza utalii Zanzibar

143

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifanya ziara maalum ya kukitembelea Kisiwa cha Bawe kilichopo Magharibi ya Mji wa Zanzibar kuona shughuli za uwekezaji katika sekta ya Utalii. Kulia kwa  Balozi Seif ni:- Waziri wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mh. Said Ali Mbarouk.

Na Othman Khamis Ame, Visiwani

UONGOZI wa Mradi wa uwekezaji wa sekta ya utalii unaosimamia uendeshaji wa hoteli za Kitalii zilizomo ndani ya visiwa vidogo vidogo vya Bawe na Changuu  {...

 

11 years ago

Mwananchi

Vyombo vya habari vyatakiwa kukuza utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), imesema inatambua mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kundeleza sekta ya utalii wa ndani na nje na kwamba wataendelea kushirikiana ili kutokomeza vitendo vya ujangili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utalii Tanzania, A.Kusini kukuza fursa za kiuchumi

HIVI karibuni ulifanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Utalii Cape Town Afrika Kusini na kuhudhuliwa na watu zaidi ya 360. Mkutano huo wa mwaka ulifunguliwa na Waziri wa Utalii wa...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA KUKUZA UTAMADUNI NA UTALII KUFANYIKA BAGAMOYO

Mmoja wa maofisa wa tamasha hilo, Muslim Nassor,  akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani). Wasanii wa kundi la The Spirit Band  wakiwa katika pozi. TAMASHA la Karibu Music Festival lenye lengo la…

 

10 years ago

Tanzania Daima

TTB yajiwekea mikakati kukuza pato la utalii

BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imesema itaendelea kuweka mikakati kabambe katika kuhakikisha sekta ya utalii inatoa mchango mkubwa zaidi katika kukuza pato la taifa kutoka asilimia 17 ya sasa na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAREKANI YATOA DOLA BILIONI 30 KWA AJILI YA KULINDA MAZINGIRA, KUKUZA UHIFADHI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na balozi wa marekani Mark Childress wakisaini  mkataba wa dola Za kimarekani million 14.5 katika hotel ya Treetops Lodge ilivyo hifadhi ya wanyamapori inayosimamiwa na wananchi (WMA)  ya Randlen monduli Arusha Kwa ajili ya mradi wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akibadilishana mkataba na balozi wa marekani Mark Childress.

Serikali iya Marekani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani