Wamiliki wa hoteli wahimizwa kukuza utalii Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifanya ziara maalum ya kukitembelea Kisiwa cha Bawe kilichopo Magharibi ya Mji wa Zanzibar kuona shughuli za uwekezaji katika sekta ya Utalii. Kulia kwa Balozi Seif ni:- Waziri wa Habari Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar Mh. Said Ali Mbarouk.
Na Othman Khamis Ame, Visiwani
UONGOZI wa Mradi wa uwekezaji wa sekta ya utalii unaosimamia uendeshaji wa hoteli za Kitalii zilizomo ndani ya visiwa vidogo vidogo vya Bawe na Changuu {...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7_nSzbKywc/VZMCKvS9f5I/AAAAAAAHmB8/nC6Gb_cdMqI/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI , UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR AZINDUA HOTELI TAUSI Palace, MJI MKONGWE ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-Q7_nSzbKywc/VZMCKvS9f5I/AAAAAAAHmB8/nC6Gb_cdMqI/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-U5CLJQSXo7k/VZMCKg8VgvI/AAAAAAAHmCE/s-pY3yj9QQA/s640/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-DX6J-2SWxb8/VZMCKl4ZIpI/AAAAAAAHmCA/DMhzE4etUjc/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.
Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...
9 years ago
MichuziWamiliki wa majengo wahimizwa kulipa kodi
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Serikali yajipanga kukuza utalii
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Utalii kukuza uchumi nchi za Afrika
KATIKA kukuza soko la utalii hivi karibuni Afrika Kusini ilifungua ofisi mjini Lagos nchini Nigeria. Ufunguzi wa ofisi hiyo ni ishara ya mwingiliano wa utalii baina ya nchi za Kiafrika ...
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA WAGENI (GUEST HOUSES) MKOANI DODOMA
11 years ago
Mwananchi28 May
Vyombo vya habari vyatakiwa kukuza utalii
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Utalii Tanzania, A.Kusini kukuza fursa za kiuchumi
HIVI karibuni ulifanyika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Utalii Cape Town Afrika Kusini na kuhudhuliwa na watu zaidi ya 360. Mkutano huo wa mwaka ulifunguliwa na Waziri wa Utalii wa...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
TTB yajiwekea mikakati kukuza pato la utalii
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imesema itaendelea kuweka mikakati kabambe katika kuhakikisha sekta ya utalii inatoa mchango mkubwa zaidi katika kukuza pato la taifa kutoka asilimia 17 ya sasa na...