Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA

Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu Florens Turuka
-JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUKufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.
Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA

Kufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.

Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango mbalimbali.

Hatua zilizochukuliwa

Serikali imechukua hatua za haraka kwa kushirikiana na wananchi...

 

10 years ago

GPL

MVUA YALETA MAAFA MAKUBWA WILAYANI KAHAMA, SHINYANGA

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. (CHANZO: RADIO1 STEREO)

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUNUSURU ZIWA BASSOTU KUJAA NA KUSABABISHA MAAFA KWA WAKAZI WA KARIBU NA ZIWA HILO

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia namna Ziwa Basotu wilayani Hanang mkoani Manyara lilivyofurika na kuziba barabara katika eneo hilo alipofanya ziara mkoani humo.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akipimwa joto la mwili alipowasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kwa ajili ya ziara wilayani Hanang kuangalia athari za kufurika kwa Ziwa Basotu na kuzingira makazi ya wanachi.

 

10 years ago

Vijimambo

MAAFA YA MAFURIKO KAHAMA: DC, Mwenyekiti CCM watunishiana misuli

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja, jana alimkemea mbele ya waathirika wa mvua ya mawe na upepo, Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, kwa kushindwa kuwajibika na kuwasababishia watu hao kukosa chakula.

Zaidi ya waathirika 250 waliopata hifadhi katika Shule ya Msingi Mwakata wilayani hapa, walishinda njaa licha ya chakula cha msaada kuwamo ndani ya darasa, lakini walishindwa kupewa...

 

10 years ago

GPL

ZICHUKULIWE HATUA HARAKA KUEPUKA JANGA LA MAFURIKO

Ndugu zangu, tunapaswa kumshukuru Mungu kwa wema wake anaotufanyia kwa kutulinda sisi tulio hai, hivyo basi jina lake lihimidiwe daima. Wiki iliyopita tulishuhudia au kusikia tukio la kusikitisha sana wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambapo vifo vya watu zaidi ya 45 viliripotiwa baada ya nyumba zao kuanguka kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo. Katika tukio hilo lilitokea katika Kijiji cha Mwakata kilichopo...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI DK.ASHA-ROSE MIGORO APONGEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA RAIS MAGUFULI KATIKA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA

*Agusia athari za Lockdown zilizoanza kujitokeza nchini Uigereza

 Na Said Mwishehe, Michuzi TV

BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amepongeza hatua ambazo zimechukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19 ikiwemo ya kutoweka nchi kwenye 'Lockdown'.

Dk.Migiro amesema katika kukabiliana na Corona kila nchi iliamua kuchukua hatua kulingana na mazingira yake huku akifafafanua kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UKATILI..!! KICHANGA CHA MWAKA MMOJA CHAKUTWA KIMETUPWA JALALANI HUKO WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA


Wananchi wa mtaa wa nyahanga mjini Kahama wakiangalia mwili wa kichanga hicho kilichowekwa kwenye mfuko.Mwili wa mtoto mwenye umri wa siku 1 umekotwa ukiwa umetupwa katika eneo la dampo la shule ya msingi Nyahanga wilayani Kahama mkoani Shinyanga.Mashuhuda watukio hilo wamesema kuwa mwili wa mtoto huyo umegunduliwa jana na wanafunzi wa shule ya msingi Nyahanga wakati wanaenda kutupa takataka kwenye dampo hilo.Akizungumzia tukio hilo afisa mtendaji wa kata ya Nyahanga Nambo Ntaki amesema kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA TANESCO MKOANI MOROGORO KATIKA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA


NAIBU Waziri wa Nishati Subiri Mgalu ameamua kufanya ziara ya kushtukiza katika ofisi Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Morogoro kwa lengo la kuuangalia kama maelezo yote ambayo yametolewa na  Serikali kwa ajili ya kujinga na maambukizi ya virusi vya COVID-19 (CORONA) kama yamezingatiwa.

Angalau amefanya ziara hiyo leo Machi 25 mwaka 2020 na akiwa kwenye ofisi hizo za TANESCO mkoani Morogoro amepata nafasi  ya kuangalia sehemu ambazo zimetengwa kwa ajili kunawa mikono kwa wateja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani