BALOZI DK.ASHA-ROSE MIGORO APONGEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA RAIS MAGUFULI KATIKA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA
*Agusia athari za Lockdown zilizoanza kujitokeza nchini Uigereza
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amepongeza hatua ambazo zimechukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19 ikiwemo ya kutoweka nchi kwenye 'Lockdown'.
Dk.Migiro amesema katika kukabiliana na Corona kila nchi iliamua kuchukua hatua kulingana na mazingira yake huku akifafafanua kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA TANESCO MKOANI MOROGORO KATIKA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA
NAIBU Waziri wa Nishati Subiri Mgalu ameamua kufanya ziara ya kushtukiza katika ofisi Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Morogoro kwa lengo la kuuangalia kama maelezo yote ambayo yametolewa na Serikali kwa ajili ya kujinga na maambukizi ya virusi vya COVID-19 (CORONA) kama yamezingatiwa.
Angalau amefanya ziara hiyo leo Machi 25 mwaka 2020 na akiwa kwenye ofisi hizo za TANESCO mkoani Morogoro amepata nafasi ya kuangalia sehemu ambazo zimetengwa kwa ajili kunawa mikono kwa wateja na...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIELEZA BUNGE HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA...AGUSIA UZUSHI MTANDAONI
WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatua mbalimbali ambazo Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt.John Magufuli ambazo inazichukua katika kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo vinasababisha ugonjwa wa COVID-19.
Akizungumza mchana huu Bungeni Mjini Dodoma katika mkutano wa kumi na tisa, kikao cha pili cha bajeti ya mwaka 2019/2020 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ametaja hatua kadhaa ambazo zimechukuliwa hadi sasa kama...
10 years ago
MichuziNEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Obama asema hatua zilizochukuliwa na Trump ni kama 'janga la machafuko'
10 years ago
MichuziHATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA
10 years ago
VijimamboHATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KATIKA KUKABILI MAAFA YALIYOSABABISHWA NA MAFURIKO WILAYANI KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA
-JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUKufuatia mvua kubwa zilizonyesha usiku wa tarehe 04 Machi, 2015 Wilayani Kahama mafuriko makubwa yalitokea na kuathiri wakazi wa kata ya Mwakata katika vijiji vya Mwakata, Numbi na Mwaguguma.
Kutokana na mafuriko yaliyotokea tathmini ya awali inaonesha kuwa watu 42 wamepoteza maisha, watu 82 wamejeruhiwa na watu wanaokadiriwa kufikia 574 wameathirika. Jumla ya nyumba 137 zimeathirika kwa viwango...
11 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.
Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.
Alieleza kuwa msamaha huo ni...
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Makundi ya kidini yanayopinga hatua za kukabiliana na Covid-19