Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Balozi Amina Salum Ali Dkt John Pombe MagufuliDkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye  atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein aagana na Balozi wa Tanzania Malaysia Dkt. Aziz P. Mlima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Zanzibar mapema leo aliagana na Balozi wa Tanzania nchin Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima, Ikulu  mjini Zanzibar. Balozi ametakiwa kukuza mahusiano mazuri yaliyopo kati nchi zetu mbili pamoja na zingine zinazowakilishwa na Ubalozi wa Tanzania Malaysia, zikiwepo Indonesia, Phillipines, Thailand, Laos, Cambodia na Brunei. Katika kukuza fursa za kiuchumi, uwekezaji, utalii na teknolojia.

 

9 years ago

Vijimambo

SALMA MOSHI AZIDI KUTESA DAR AKUTANA NA MHE. ASHA-ROSE MIGIRO

Katibu muenezi na Itikadi wa CCM DMV Salma Moshi aka Salma Manyoka akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Asha-Rose Mtengeti Migiro siku ya Jumamosi September 12, 2015 siku Salma Moshi alipotembelea Wizara ya Sheria na Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

DKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA

Ili kuwa ni hafla ya aina yake iliyojaa tabasamu, kukumbatiana na maneno ya " welcome back, good to see you again, we have missed you" yakitawala wakati Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha- Rose Migiro alipofika Ofisini kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na kisha kukutana na kubadilishana mawazo na Katibu Mkuu mwenyewe wakianza na mazungumzo ya faragha kati yao wawili na kisha kujumuika na wafanyakazi wa Ofisi Binfasi ya Katibu Mkuu na Ofisi Binafsi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt Asha-Rose Migiro apata wadhamini wa kutosha mkoani Kigoma leo


Katibu wa ccm wilaya ya Kigoma Novati Kibadi akimkabithi form Dkt. Migiro zenye majina 45 alizodhaminiwa na wakazi wa kigoma
Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumdhamini Dkt. Migiro wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa ccm mkoa wa Kigoma wakimsikiliza mgeni waoMhe Migiro akishukuru baada ya kukabithiwa fomu za wadhamini. Chini akishiriki kuimba na meza kuu baada ya kukabidhiwa fomu za wadhaminiMhe. Migiro akiongea na wana habari baada ya zoezi la kukabidhiwa majina ya wadhamini katika...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini

 Waziri wa Sheria na Katika Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea majina ya wadhamin toka kwa katibu wa CCM Mwanga Bi Mwanaidi Dkt. Migiro  akiwa na list yake ya wadhamini Mwanga KilimanjaroDkt. Migiro akiwa na kaka zake kwenye kaburi la baba yake Cheif Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa II na babu zake waliotangulia.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho nchini Laos

 Dkt. Aziz Ponary Mlima Balozi wa Tanzania nchini Malaysia akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Laos Mheshimiwa Choummaly Sayasone. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Vientiane nchini Laos.Dkt Aziz Mlima akifanya mazungumzo na Makamu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Laos ambaye aliwahi kuwa Balozi wa Laos kwenye Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu Mheshimiwa Alounkeo Kittikhoun.Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia unawakilisha nchi nyingine 6 katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani