Dkt Asha-Rose Migiro apata wadhamini wa kutosha mkoani Kigoma leo

Katibu wa ccm wilaya ya Kigoma Novati Kibadi akimkabithi form Dkt. Migiro zenye majina 45 alizodhaminiwa na wakazi wa kigomaBaadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumdhamini Dkt. Migiro wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa ccm mkoa wa Kigoma wakimsikiliza mgeni wao
Mhe Migiro akishukuru baada ya kukabithiwa fomu za wadhamini. Chini akishiriki kuimba na meza kuu baada ya kukabidhiwa fomu za wadhamini
Mhe. Migiro akiongea na wana habari baada ya zoezi la kukabidhiwa majina ya wadhamini katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Waziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini



11 years ago
MichuziDKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Michuzi
NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI



Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM
11 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima
11 years ago
Michuzi15 May
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboDkt. Magufuli apata wadhamini lukuki Mkoani Dodoma