Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt Asha Rose Migiro atoa shukrani kwa chama chake pia awapongeza wanawake wote kwa kujitoa kuchukua fomu ya urais.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA

Ili kuwa ni hafla ya aina yake iliyojaa tabasamu, kukumbatiana na maneno ya " welcome back, good to see you again, we have missed you" yakitawala wakati Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha- Rose Migiro alipofika Ofisini kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na kisha kukutana na kubadilishana mawazo na Katibu Mkuu mwenyewe wakianza na mazungumzo ya faragha kati yao wawili na kisha kujumuika na wafanyakazi wa Ofisi Binfasi ya Katibu Mkuu na Ofisi Binafsi ya...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Balozi Amina Salum Ali Dkt John Pombe MagufuliDkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye  atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM

 

10 years ago

Michuzi

Dkt Asha-Rose Migiro apata wadhamini wa kutosha mkoani Kigoma leo


Katibu wa ccm wilaya ya Kigoma Novati Kibadi akimkabithi form Dkt. Migiro zenye majina 45 alizodhaminiwa na wakazi wa kigoma
Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumdhamini Dkt. Migiro wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa ccm mkoa wa Kigoma wakimsikiliza mgeni waoMhe Migiro akishukuru baada ya kukabithiwa fomu za wadhamini. Chini akishiriki kuimba na meza kuu baada ya kukabidhiwa fomu za wadhaminiMhe. Migiro akiongea na wana habari baada ya zoezi la kukabidhiwa majina ya wadhamini katika...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini

 Waziri wa Sheria na Katika Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea majina ya wadhamin toka kwa katibu wa CCM Mwanga Bi Mwanaidi Dkt. Migiro  akiwa na list yake ya wadhamini Mwanga KilimanjaroDkt. Migiro akiwa na kaka zake kwenye kaburi la baba yake Cheif Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa II na babu zake waliotangulia.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWAPONGEZA KISARAWE KWA UBUNIFU WA TAMASHA LA MAMA LISHE, ATOA MAAGIZO KWA WAKURUGENZI WOTE

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, ameipongeza Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa kuandaa Tamasha la Mama Lishe ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa mama lishe katika kuleta maendeleo.

Jafo ametumia nafasi hiyo kuwataka wakurugenzi wa halmashiri zote nchini ambao wataoshindwa kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana watachukuliwa hatua ikiwemo ya kutumbuliwa.
Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani