NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI
Balozi Amina Salum Ali Dkt John Pombe MagufuliDkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUPDATES KUTOKA DODOMA ASUBIHI HII: TANO BORA YA WAGOMBEA URAIS WA CCM NI MEMBE, MAGUFULI, MIGIRO,MAKAMBA NA BALOZI AMINA SALUM
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa mitandaoni ya Wagombea Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ambao aliwataja kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh....
11 years ago
MichuziMaalim Seif akutana na Dkt Asha-Rose Migiro, balozi Aziz Mlima
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Dr. Asha Rose Migiro, alipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya kutambulisha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na...
9 years ago
MichuziRAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015 Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015RaisRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Dk Magufuli,Migiro na Amina Salum Ali watinga tatu bora
>Halmashauri Kuu ya CCM imemaliza kikao chake na imewachagua Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro na Balozi Amina Salum Ali kuingia katika tatu bora.
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Dk Magufuli, Dk Migiro na Balozi Amina Salum watinga tatu bora
Halmashauri Kuu ya CCM imemaliza kikao chake na imewachagua Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro na Balozi Amina Salum Ali kuingia katika tatu bora.
10 years ago
MichuziUPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...
11 years ago
MichuziDKT. ASHA-ROSE MIGIRO ALIVYOPOKELEWA KWA FURAHA UMOJA WA MATAIFA
Ili kuwa ni hafla ya aina yake iliyojaa tabasamu, kukumbatiana na maneno ya " welcome back, good to see you again, we have missed you" yakitawala wakati Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha- Rose Migiro alipofika Ofisini kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na kisha kukutana na kubadilishana mawazo na Katibu Mkuu mwenyewe wakianza na mazungumzo ya faragha kati yao wawili na kisha kujumuika na wafanyakazi wa Ofisi Binfasi ya Katibu Mkuu na Ofisi Binafsi ya...
11 years ago
MichuziZIARA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI ZIARANI SINGIDA NA DODOMA
Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt.Rehema Nchimbi kulia...
10 years ago
MichuziWaziri Dkt Asha-Rose Migiro atua nyumbani Mwanga kupokea wadhamini
Waziri wa Sheria na Katika Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea majina ya wadhamin toka kwa katibu wa CCM Mwanga Bi Mwanaidi Dkt. Migiro akiwa na list yake ya wadhamini Mwanga KilimanjaroDkt. Migiro akiwa na kaka zake kwenye kaburi la baba yake Cheif Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa II na babu zake waliotangulia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania