Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI ZIARANI SINGIDA NA DODOMA

 Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara  ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Dkt.Rehema Nchimbi kulia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI SINGIDA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkandarasi pamoja na Mhandisi Mshauri wa barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya  km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Mradi huu utakapokamilika na kupokelewa na Serikali Mkandarasi atakaa site miaka mitatu kwa ajili ya uangalizi na kufanya marekebisho yoyote yatakayojitokeza kwa gharama zake mwenyewe.

 . Sehemu ya barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya  km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Barabara hii...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES KUTOKA DODOMA JIONI HII;NI DKT ASHA ROSE MIGIRO,BALOZI AMINA SALUM ALI NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Balozi Amina Salum Ali Dkt John Pombe MagufuliDkt Asha Rose Migiro.
Pichani ni majina matatu ya wagombea kiti cha Urais kwa chama cha CCM,yaliyopitishwa jioni ya leo na Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM,ambapo kati ya hayo majina matatu kupitia Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika usiku huu utaibua jina la mtu mmoja tu ambaye  atatambulika kuwa ndiye mgombea kiti cha Urais kupitia chama hicho cha CCM

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA ZA KUMBUKUMBU BAADA YA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUZINDUA BUNGE DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa huku Spika Mstaafu mwingine Mhe Anne Makinda akisubiri zamu yake muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa...

 

9 years ago

Michuzi

DKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI

 Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao. Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakielekea jukwaani kwa pamoja mara baada ya kupokelewa katika uwanja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli

1x-1

Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.

Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.

Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...

 

9 years ago

GPL

HAPPY BIRTHDAY DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli. LEO  ni siku ya kuzaliwa ya mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote. Dkt John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa siku ya Alhamis, Oktoba 29, 1959. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani