Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI SINGIDA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkandarasi pamoja na Mhandisi Mshauri wa barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya  km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Mradi huu utakapokamilika na kupokelewa na Serikali Mkandarasi atakaa site miaka mitatu kwa ajili ya uangalizi na kufanya marekebisho yoyote yatakayojitokeza kwa gharama zake mwenyewe.

 . Sehemu ya barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya  km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Barabara hii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI ZIARANI SINGIDA NA DODOMA

 Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao umefanywa na wakandarasi Wazawa umegarimu shilingi Milioni 384.Mataa yaliyozinduliwa leo ni yaliyopo ANJIA PANDA ya Barabara ya Nyerere na Mpwapwa na yale yaliyopo njia panda ya Barabara ya Area D na barabara  ya kuelekea Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Dkt.Rehema Nchimbi kulia...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KILIMANJARO

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akizungumza jambo na Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe wakati Waziri wa Ujenzi alipokagua barabara ya Kwa sadala-Masama-Machame JCT km 16. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akimtaka mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe kuchangia shule mojawapo iliyopo Masama kwa ajili ya ujenzi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA

Waziri Mkuu, Miengo Pinda akitazama ngoma ya Kihaya kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba Oktoba 5, 2014 ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku ya walimu duniani zilizofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Oktoba 5, 2014. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Luangwa, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabiana Massawe. Waziri Mkuu, Mizengo...

 

9 years ago

Michuzi

DKT JAKAYA KIKWETE NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAWASILI JIJINI MWANZA MCHANA HUU KUHITIMISHA SHUGHULI ZA KAMPENI

 Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao. Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakielekea jukwaani kwa pamoja mara baada ya kupokelewa katika uwanja wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli

1x-1

Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.

Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.

Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda ahitimisha ziara yake mkoani Kagera

PG4A3928

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma ya Kihaya kabla ya kuondoka kwenye uwanja  wa ndege wa Bukoba Oktoba 5, 2014 ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za siku ya walimu duniani zilizofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba  mjini Bukoba Oktoba 5, 2014.  Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi  na mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mbunge wa Luangwa, Kassim Majaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani