WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIELEZA BUNGE HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA SERIKALI KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA...AGUSIA UZUSHI MTANDAONI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatua mbalimbali ambazo Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt.John Magufuli ambazo inazichukua katika kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo vinasababisha ugonjwa wa COVID-19.
Akizungumza mchana huu Bungeni Mjini Dodoma katika mkutano wa kumi na tisa, kikao cha pili cha bajeti ya mwaka 2019/2020 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ametaja hatua kadhaa ambazo zimechukuliwa hadi sasa kama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA TANESCO MKOANI MOROGORO KATIKA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA
NAIBU Waziri wa Nishati Subiri Mgalu ameamua kufanya ziara ya kushtukiza katika ofisi Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Morogoro kwa lengo la kuuangalia kama maelezo yote ambayo yametolewa na Serikali kwa ajili ya kujinga na maambukizi ya virusi vya COVID-19 (CORONA) kama yamezingatiwa.
Angalau amefanya ziara hiyo leo Machi 25 mwaka 2020 na akiwa kwenye ofisi hizo za TANESCO mkoani Morogoro amepata nafasi ya kuangalia sehemu ambazo zimetengwa kwa ajili kunawa mikono kwa wateja na...
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Obama asema hatua zilizochukuliwa na Trump ni kama 'janga la machafuko'
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Makundi ya kidini yanayopinga hatua za kukabiliana na Covid-19
5 years ago
MichuziBALOZI DK.ASHA-ROSE MIGORO APONGEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA RAIS MAGUFULI KATIKA KUKABILIANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza Dk.Asha-Rose Migiro amepongeza hatua ambazo zimechukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli katika kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19 ikiwemo ya kutoweka nchi kwenye 'Lockdown'.
Dk.Migiro amesema katika kukabiliana na Corona kila nchi iliamua kuchukua hatua kulingana na mazingira yake huku akifafafanua kwa...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI WILAYA YA KIBAHA ILIYOTENGWA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA CORONA
Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakati alipokagua hospitali ya wilaya ya kibaha iliyopo eneo la Lulanzi ambayo imetengwa kwa ajili ya kuwahuduma kwa wagonjwa wa Coroma, Machi 28, 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo na wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua wodi za...
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU KUHUSU CORONA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu ugonjwa wa Corona (COVID – 19) nchini kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu cha kujadili ugonjwa wa Corona (COVID- 19) nchini kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Machi 23, 2020. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na kulia ni...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA JANGA LA CORONA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Viongozi wa madhehebu ya Dini nchini, imeandaa maombi maalum Kitaifa kuiombea Nchi dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayotokana na Virusi vya Corona.Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, Maombi hayo yatakayoongozwa na Viongozi Wakuu wa madhehebu ya Dini nchini, yatafanyika Jumatano tarehe 22 Aprili, 2020 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar Es Salaam, kuanzia Saa 3.00 Asubuhi ambapo Mgeni Rasmi atakuwa...