MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA AWASHAURI VIJANA KUFANYA KAZI NA MASHIRIKA YA KIMATAIFA
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akitoa mada katika Kongamano la Vijana. Wakati wa kongamano hilo Balozi Mushy amewashauri vijana kufanya kazi na Taasisi za Umoja wa Mataifa ili kujipatia uzoefu wa kujielezea ikiwa ni pamoja na kujiamini. Kongamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es Salaam
Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem (Wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Wizara ya Habari, Vijana,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMkurugenzi wa Ushirikano wa Kimataifa awashauri vijana kufanya kazi na Mashirika ya Kimataifa
10 years ago
MichuziMKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
9 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NCHINI KUTEMBEA WAGENI WA KIMATAIFA MAKUMBUSHO YA TAIFA
9 years ago
Raia Mwema30 Dec
Taa zakwamisha ndege za mashirika ya kimataifa kutua Songwe Airport
UWANJA wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya unafunga mwaka ukiwa na ongezeko la abiria takribani mara
Felix Mwakyembe
10 years ago
MichuziWaziri Membe azungumza na Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...
10 years ago
MichuziMASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
Umoja wa Mashirika Matano yanaounda ushirika wa Fahamu,Ongea Sikilizwa(FOS) ambayo ni Oxfam,BBC Media Auction, Legal and Human Rights Centre, Restless Development, and VSO leo wamekutana na waandishi wa Habari kwa ajili ya kuzungumzia mambo Mbalimbali yanayohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2015 na kueleza malengo ya muungano huo.
Akizungumza Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Bi. Jane Foster ambao ndio waandaaji wa Mkutano huo na waandishi wa...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Mashirika matano ya kitaifa na kimataifa (FOS) yaungana kwa pamoja kutoa elimu kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Mkurugenzi Mkuu Mkazi wa Oxfam, Jane Foster ambao pia ndio waandaaji wa Mkutano huu na waandashi wa Habari akieleza kwa kina nia ya Mkutano huo ambao lengo kuu ni kuzungumzia maswala ya Uchaguzi kuwa kila mtu anahaki ya kupiga kura.
Hellen Kijo Bisimba (Kushoto) ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) akiongea jinsi walivyo endesha zoezi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UimU0sKvhys/VAWUqjQG8_I/AAAAAAAGbJs/EZyiycD3oLs/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
MKURUGENZI MAMBO YA KALE ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UimU0sKvhys/VAWUqjQG8_I/AAAAAAAGbJs/EZyiycD3oLs/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
Mkurugenzi wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Donatius M.K. Kamamba (pichani) ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya “The knight Cross in the Order of Arts and Letters” na Serikali ya Ufaransa.
Hatua hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa Bw. Kamamba katika kulinda na kuendeleza Urithi wa Utamaduni hapa nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.
Katika barua aliyoandikiwa Mkurugenzi huyo na...