Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa katika Mkutano huo.
Umoja wa Mashirika Matano yanaounda ushirika wa Fahamu,Ongea Sikilizwa(FOS) ambayo ni Oxfam,BBC Media Auction, Legal and Human Rights Centre, Restless Development, and VSO leo wamekutana na waandishi wa Habari kwa ajili ya kuzungumzia mambo Mbalimbali yanayohusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2015 na kueleza malengo ya muungano huo.

Akizungumza Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Bi. Jane Foster ambao ndio waandaaji wa Mkutano huo na waandishi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mashirika matano ya kitaifa na kimataifa (FOS) yaungana kwa pamoja kutoa elimu kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Wasemaji kutoka Mashirika Matano Kutoka kushoto ni Msemaji kutoka LHRC,OXFAM, Restless Development, BBC na VSO.
Mkurugenzi Mkuu Mkazi wa Oxfam, Jane Foster ambao pia ndio waandaaji wa Mkutano huu na waandashi wa Habari akieleza kwa kina nia ya Mkutano huo ambao lengo kuu ni kuzungumzia maswala ya Uchaguzi kuwa kila mtu anahaki ya kupiga kura.  

Hellen Kijo Bisimba (Kushoto) ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na haki  za binadamu (LHRC) akiongea jinsi walivyo endesha zoezi...

 

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MIFUKO YA PAMOJA KWA WANANCHI

Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu ,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko(UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika masoko ya fedha na masoko ya mitaji kulingana na waraka wa makubaliono. Faida ipatikanayo hugawanywa kwa wawekezaji kulingana na uwiano wa uwekezaji waliofanya katika mfuko husika.
Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto,...

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini.Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa picha inayoonyesha kuimarika kwa upinzani nchini, kwani matokeo ya jumla...

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini. Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kuelekea uchaguzi mkuu 2015, tuna mengi ya kujifunza 

TUNAPOELEKEA uchaguzi mkuu wa 2015 na kazi kubwa iliyo mbele yetu ya kutengeneza Katiba mpya ya taifa letu, Watanzania tuna mambo mengi ya kujifunza. Jinsi tunavyowatafuta wataalamu wa uchumi, soko...

 

9 years ago

Dewji Blog

EWURA yafafanua kuhusu hali ya upatikanaji wa mafuta kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

ewura2

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta, (EWURA), Bw. Felix Ngamlagosi.

ewura 1.pdf 

ewura 2.pdf 

 

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA KISARAWE WASHIRIKI MDAHALO WA AJENDA YA WATOTO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015


Ndg Abel Mudo, mgombea wa udiwani kata ya Kisarawe kupitia CCM akichangia katika mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo ulihusisha pia wakazi wa kata ya kisaraweBaadhi ya wakazi ya kata wa kisarawe wakifuatilia kwa makini mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo wa  ajenda ya watoto ullohusisha wagombea wa udiwani kupiitia vyama vya CCM na Chadema 


Mmoja wa wananchi wa kata ya kisarawe akichangia katika mdahalo wa ajenda ya  watoto kuelekea uchaguzi mkuu  ambapo ulihusisha wanafunzi na wagombea  wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKOA WA MARA WAMDHAMINI MWIGULU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015 NAFASI YA URAIS


Mwigulu Nchemba akishuhudia mmoja ya wadhamini wake wakijiorodhesha kwenye Fomu ya wadhamini.Mwigulu Nchemba akioneshwa orodha ya Wanachama wa CCM waliomdhamini mkoa wa Mara.Aliyeshika orodha ya Majina ni Katibu wa CCM wilaya ya Musoma Mjini.
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya WanaCCM waliomdhamini kwenye safari ya Kukamilisha taratibu za Chama ili aweze kuteuliwa Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwigulu Nchemba akionesha orodha ya wadhamini wake kwa Mkoa wa Mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani