Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WA KISARAWE WASHIRIKI MDAHALO WA AJENDA YA WATOTO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015


Ndg Abel Mudo, mgombea wa udiwani kata ya Kisarawe kupitia CCM akichangia katika mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo ulihusisha pia wakazi wa kata ya kisaraweBaadhi ya wakazi ya kata wa kisarawe wakifuatilia kwa makini mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo wa  ajenda ya watoto ullohusisha wagombea wa udiwani kupiitia vyama vya CCM na Chadema 


Mmoja wa wananchi wa kata ya kisarawe akichangia katika mdahalo wa ajenda ya  watoto kuelekea uchaguzi mkuu  ambapo ulihusisha wanafunzi na wagombea  wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VUGUVUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Simbani, Akram-Shabani,akizungumza katika Mdahalo wa Walinde Watoto uliowaleta pamoja wapiga kura, watoto na wagombea wa nafasi za Ubunge na Udiwani uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani jana. Baadhi ya wakazi wa Kibaha Mkoani Pwani  waliohudhuria mdahalo huo.Mratibu wa mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya mtoto kutoka Plan International, Jastin Moses akizungumza  katika Mdahalo wa Walinde Watoto uliowaleta pamoja wapiga kura, watoto na wagombea wa nafasi za Ubunge na...

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini. Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa...

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini.Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa picha inayoonyesha kuimarika kwa upinzani nchini, kwani matokeo ya jumla...

 

10 years ago

Vijimambo

VUGU VUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA MKOANI PWANI.

Mtoto Loida Goodluck Kutoka shule ya Sekondari ya  Simbani akichangia mada katika Mdahalo huoMjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa mtoto Joyce Michael akizungumza jambo wakati wa Mdahalo  huo
Jastin Moses Mratibu wa mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya mtoto kutoka Plan International akichangia mchango wake wakati wa mdahalo huo Ombeni Ally Mkuu wa Shule ya Sekondari Simbani akifafanua Jambo katika mdahalo  huoRamadhan Lutambi mgombea udiwani kata ya Kibaha maili Moja kupitia Chadema...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi watakiwa kuepuka uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu

Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko juu ya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na baadhi ya watu kufanya vitendo vyenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani.

Zaidi ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi na 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yakiwa na jumla ya watuhumiwa 52.

 

Akitoa tamko hilo msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi SSP Advera Bulimba amesema katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAHIKIKISHIA AMANI NA USALAMA WANANCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

Serikali imewakikishia Amani na Usalama wananchi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na vyombo vya habari Visiwani Zanzibar

 

10 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao

Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa  kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.

Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea  katika kuchochea mabadiliko.

 Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...

 

10 years ago

Vijimambo

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015.

 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mtoa mada Dk. Humphrey Polepole akitoa mada kuhusu kuzingatia misingi ya amani na umoja wa taifa letu kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akitoa majumuisho ya jumla juu ya dhima ya mdahalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani