Wananchi watakiwa kuepuka uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu
Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko juu ya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na baadhi ya watu kufanya vitendo vyenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani.
Zaidi ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi na 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yakiwa na jumla ya watuhumiwa 52.
Akitoa tamko hilo msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi SSP Advera Bulimba amesema katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Oct
Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao
Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.
Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea katika kuchochea mabadiliko.
Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...
5 years ago
MichuziSERIKALI YAWAHIKIKISHIA AMANI NA USALAMA WANANCHI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na vyombo vya habari Visiwani Zanzibar
9 years ago
Habarileo21 Aug
Washauriwa kuepuka uvunjifu wa amani
WATANZANIA wameshauriwa kujiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.
9 years ago
StarTV31 Dec
Viongozi wa Dini waaswa kutohubiri uchochezi Kuepuka Uvunjifu Wa Amani
Baadhi ya viongozi wa Dini nchini wametakiwa kuepuka kutumia nyumba za ibaada kuhubiri uchochezi na kutoa utabiri wa mambo yenye maslahi kwa Taifa kwani yanaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Mkuu wa Muungano wa makanisa ya kipentecoste Tanzania (MMPT) Erasto Makala katika Ibaada takatifu ya kumsimika mchungaji kiongozi wa mission ya Nzega Yeftha Sang`udi kwa makanisa ya pentecoste yaliyopo kwenye ...
10 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi watakiwa kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga vyema kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uvunjifu wa amani hasa katika kipindi ambacho taifa linaelekea katika matukio muhimu likiwemo la uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Samia: Watanzania watakiwa kulindana kuelekea Uchaguzi Mkuu
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-JSIXCtXGYFo/VfvHmQ-i4CI/AAAAAAAD7tE/34Gyn5DTZVw/s72-c/ILULA.jpg)
9 years ago
Mwananchi01 Oct
IGP Mangu ataka amani kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NHL8vluFPVU/VcxfAvGPOcI/AAAAAAAHwWQ/4MX-nxIrKmA/s72-c/Pix%2Bb.jpg)
Vijana nchini watakiwa kuzingatia upatikanaji wa taarifa sahihi kuelekea uchaguzi mkuu
![](http://3.bp.blogspot.com/-NHL8vluFPVU/VcxfAvGPOcI/AAAAAAAHwWQ/4MX-nxIrKmA/s640/Pix%2Bb.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-uwUbPayAoR0/VcxfBAQ6B5I/AAAAAAAHwWc/2ATtTwvjiB8/s640/Pix%2Bc.jpg)