Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washauriwa kuepuka uvunjifu wa amani

WATANZANIA wameshauriwa kujiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Viongozi wa Dini waaswa kutohubiri uchochezi Kuepuka Uvunjifu Wa Amani

Baadhi ya  viongozi  wa  Dini  nchini  wametakiwa  kuepuka  kutumia  nyumba za ibaada kuhubiri uchochezi  na kutoa  utabiri  wa mambo  yenye  maslahi  kwa Taifa  kwani   yanaweza  kuleta  madhara   makubwa  kwa jamii.

Kauli  hiyo  imetolewa  na Askofu  Mkuu  wa Muungano   wa makanisa  ya kipentecoste   Tanzania  (MMPT) Erasto Makala   katika  Ibaada   takatifu   ya  kumsimika   mchungaji  kiongozi  wa mission  ya  Nzega    Yeftha  Sang`udi   kwa makanisa  ya pentecoste  yaliyopo  kwenye  ...

 

9 years ago

StarTV

Wananchi watakiwa kuepuka uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu

Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko juu ya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na baadhi ya watu kufanya vitendo vyenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani.

Zaidi ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi na 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yakiwa na jumla ya watuhumiwa 52.

 

Akitoa tamko hilo msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi SSP Advera Bulimba amesema katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Viashiria uvunjifu amani vyajitokeza

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.VIASHIRIA vya uvunjifu wa amani, vimeanza kujitokeza nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba

Januari MakambaWANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana 8 mbaroni kwa uvunjifu wa amani

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam limewakamata vijana nane waliojihusisha na matukio ya uvunjifu wa amani katika maeneo ya Kigogo, Ilala Boma na Buguruni, huku likiahidi kuendeleza...

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete atahadharisha kauli za uvunjifu wa amani

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema baadhi ya kauli zinazotolewa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (Ukawa), zinaashiria uvunjifu wa amani pindi matokeo ya kura yatakapoanishwa baada ya zoezi la upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

CCM Iringa chalalamikia uvunjifu wa amani

Wakati kampeni zikizidi kupamba moto Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimelalamikia matukio ya uvunjifu wa amani ambayo yamejitokeza katika mikutano ya kampeni hivyo kikiwataka viongozi wa kisiasa kuendesha siasa za kistaarabu zenye dira ya demokrasia itakayotunza tunu za Taifa.

CCM kimesema matukio hayo kwa kiwango kikubwa yameendeshwa na baadhi ya vijana ambao wanatumiwa kuvuruga amani jambo ambalo halipaswi kuvumiliwa.

 

 

katika mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi CCM katika...

 

9 years ago

Habarileo

RC Dar aonya wanaoamsha hisia za uvunjifu wa amani

VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kuheshimu Katiba ya nchi kwa kuacha kuendeleza mgogoro na kuamsha viashiria vya uvunjifu wa amani ya nchi kwa madai ya kutokukubaliana na matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi

JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani