Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete atahadharisha kauli za uvunjifu wa amani

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema baadhi ya kauli zinazotolewa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (Ukawa), zinaashiria uvunjifu wa amani pindi matokeo ya kura yatakapoanishwa baada ya zoezi la upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba

Januari MakambaWANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.

 

9 years ago

Habarileo

Washauriwa kuepuka uvunjifu wa amani

WATANZANIA wameshauriwa kujiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Habarileo

Viashiria uvunjifu amani vyajitokeza

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.VIASHIRIA vya uvunjifu wa amani, vimeanza kujitokeza nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

StarTV

CCM Iringa chalalamikia uvunjifu wa amani

Wakati kampeni zikizidi kupamba moto Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimelalamikia matukio ya uvunjifu wa amani ambayo yamejitokeza katika mikutano ya kampeni hivyo kikiwataka viongozi wa kisiasa kuendesha siasa za kistaarabu zenye dira ya demokrasia itakayotunza tunu za Taifa.

CCM kimesema matukio hayo kwa kiwango kikubwa yameendeshwa na baadhi ya vijana ambao wanatumiwa kuvuruga amani jambo ambalo halipaswi kuvumiliwa.

 

 

katika mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi CCM katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana 8 mbaroni kwa uvunjifu wa amani

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam limewakamata vijana nane waliojihusisha na matukio ya uvunjifu wa amani katika maeneo ya Kigogo, Ilala Boma na Buguruni, huku likiahidi kuendeleza...

 

9 years ago

Habarileo

RC Dar aonya wanaoamsha hisia za uvunjifu wa amani

VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kuheshimu Katiba ya nchi kwa kuacha kuendeleza mgogoro na kuamsha viashiria vya uvunjifu wa amani ya nchi kwa madai ya kutokukubaliana na matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi

JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YATAKIWA KUKABILIANA NA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI

Na Woinde Shizza,Arusha Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba 25 mwaka huu Serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki utakaodumisha amani ya taifa.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Apet Jijini Arusha Peter Aham  katika mjadala wa masuala ya amani hasa katika kipindi cha uchaguzi ulioudhuriwa na Wawakilishi kutoka tume ya uchaguzi,Jeshi la Polisi,Vyama vya Siasa pamoja na wadau wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka

JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani