SERIKALI YATAKIWA KUKABILIANA NA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI
Na Woinde Shizza,Arusha Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba 25 mwaka huu Serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki utakaodumisha amani ya taifa.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Apet Jijini Arusha Peter Aham katika mjadala wa masuala ya amani hasa katika kipindi cha uchaguzi ulioudhuriwa na Wawakilishi kutoka tume ya uchaguzi,Jeshi la Polisi,Vyama vya Siasa pamoja na wadau wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi
TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI WIKI MOJA KUELEKEA TAREHE YA UPIGAJI KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU TANZANIA TAREHE 25.10.2015 Sunday, October 18, 2015 Asasi za Tanzania tumeendelea kufuatilia mchakato wa uchaguzi […]
The post Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Habarileo17 Apr
Viashiria uvunjifu amani vyajitokeza
VIASHIRIA vya uvunjifu wa amani, vimeanza kujitokeza nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CVYtpofBHSU/U53L0MC2joI/AAAAAAAFqwA/4tIxZ3i3WzY/s72-c/unnamed+(18).jpg)
WATUMISHI WA MUNGU KEMEENI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI - DC KINGU
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
SERIKALI YA TANZANIA YATAKIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI
Profesa Nicholas Boaz, Wednesday, October 21, 2015 NA MWANDISHI WETU WASHINGTON Serikali ya Tanzania imetakiwa kuhakikisha kuwa amani na usalama vinakuwepo wakati na baada ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini Tanzania tarehe 25 mwezi […]
The post SERIKALI YA TANZANIA YATAKIWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-He6qpWS2SFg/VVSa0RogBqI/AAAAAAAHXSE/H8y9ftjHeQw/s72-c/Kamanda%2Bwa%2BPolisi%2BMkoa%2Bwa%2BDodoma%2BDAVID%2BMISIME%2B-%2BSACP%2Bakitoa%2Belimu%2Bkatika%2Bmkutano%2Bhuo.png)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma lawataka Viongozi kuwaelimisha wananchi juu ya matishio na viashilia vya uvunjifu wa sheria na amani
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha wananchi wanaowaongoza na wanaofanya kazi chini yao juu ya matishio na viashilia vya uvunjifu wa sheria na amani ili wote waweze kuwa na uelewa wa pamoja kuvibaini, kuvizuia na kuvitolea taarifa kwa vyombo vya dola waweze kuwakamata wahusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
Ameyasema hayo...
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
‘Serikali yatakiwa kufunga viwanda vya mifuko ya plastiki’
MBUNGE wa Viti Maalum, Maryam Msabaha (CHADEMA), ameitaka serikali kuvifungia viwanda vyote nchini vinavyozalisha mifuko ya plastiki kutokana na kuchafua mazingira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jana wakati akiuliza swali la...
11 years ago
Habarileo31 Dec
Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba
WANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.
9 years ago
Habarileo21 Aug
Washauriwa kuepuka uvunjifu wa amani
WATANZANIA wameshauriwa kujiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.
9 years ago
StarTV22 Sep
CCM Iringa chalalamikia uvunjifu wa amani
Wakati kampeni zikizidi kupamba moto Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimelalamikia matukio ya uvunjifu wa amani ambayo yamejitokeza katika mikutano ya kampeni hivyo kikiwataka viongozi wa kisiasa kuendesha siasa za kistaarabu zenye dira ya demokrasia itakayotunza tunu za Taifa.
CCM kimesema matukio hayo kwa kiwango kikubwa yameendeshwa na baadhi ya vijana ambao wanatumiwa kuvuruga amani jambo ambalo halipaswi kuvumiliwa.
katika mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi CCM katika...