Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMISHI WA MUNGU KEMEENI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI - DC KINGU

Na Allan Ntana, Tabora   IMEELEZWA kuwa tunu ya amani na utulivu iliyohapa nchini ni matokeo ya maombi ya wacha Mungu yanayofanyika katika nyumba za ibada kila iitwapo leo pasipokukoma.   Hayo yamebainishwa leo na Mkuu wa wilaya ya Igunga Elibariki Kingu aliyemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa katika sherehe za Jubilee ya Miaka 75 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) zinazoendelea katika majimbo yote ya kanisa hilo hapa nchini.   Kingu alisema katika ibada maalumu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YATAKIWA KUKABILIANA NA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI

Na Woinde Shizza,Arusha Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba 25 mwaka huu Serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki utakaodumisha amani ya taifa.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Apet Jijini Arusha Peter Aham  katika mjadala wa masuala ya amani hasa katika kipindi cha uchaguzi ulioudhuriwa na Wawakilishi kutoka tume ya uchaguzi,Jeshi la Polisi,Vyama vya Siasa pamoja na wadau wa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi

TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI WIKI MOJA KUELEKEA TAREHE YA UPIGAJI KURA KATIKA UCHAGUZI MKUU TANZANIA TAREHE 25.10.2015 Sunday, October 18, 2015 Asasi za Tanzania tumeendelea kufuatilia mchakato wa uchaguzi […]

The post Tamko Kali La Asasi Za Kiraia::Viashiria Vya Uvunjifu Wa Amani Wiki Moja Kabla Ya Uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma lawataka Viongozi kuwaelimisha wananchi juu ya matishio na viashilia vya uvunjifu wa sheria na amani

Na Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha wananchi wanaowaongoza na wanaofanya kazi chini yao juu ya matishio na viashilia vya uvunjifu wa sheria na amani ili wote waweze kuwa na uelewa wa pamoja kuvibaini, kuvizuia na kuvitolea taarifa kwa vyombo vya dola waweze kuwakamata wahusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
Ameyasema hayo...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. DKT PINDI CHANA AZINDUA SEMINA YA KUDUMISHA AMANI NA KUKOMESHA VITENDO VYA UKATILI ROLYA, MARA

Mheshimiwa Dkt.Pindi Chana (Mb.) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto tarehe 17/12/2014 alifungua rasmi semina maalum kuhusu masuala ya kukomesha vitendo vya Ukatili na kudumisha Amani Mkoani Mara.
 Semina hiyo ilindaliwa na kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Rorya , Kanisa kuu Mt. Petro Kowak, kata ya Nyathorogo.
Wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo Mheshimiwa Naibu Waziri aliwasihi wadau mbalimbali wa maendeleo ya Jinsia kutekeleza kwa vitendo kauli Mbiu Siku ya...

 

10 years ago

Habarileo

Viashiria uvunjifu amani vyajitokeza

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.VIASHIRIA vya uvunjifu wa amani, vimeanza kujitokeza nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba

Januari MakambaWANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.

 

9 years ago

Habarileo

Washauriwa kuepuka uvunjifu wa amani

WATANZANIA wameshauriwa kujiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana 8 mbaroni kwa uvunjifu wa amani

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam limewakamata vijana nane waliojihusisha na matukio ya uvunjifu wa amani katika maeneo ya Kigogo, Ilala Boma na Buguruni, huku likiahidi kuendeleza...

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete atahadharisha kauli za uvunjifu wa amani

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema baadhi ya kauli zinazotolewa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (Ukawa), zinaashiria uvunjifu wa amani pindi matokeo ya kura yatakapoanishwa baada ya zoezi la upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani