CCM Iringa chalalamikia uvunjifu wa amani
Wakati kampeni zikizidi kupamba moto Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimelalamikia matukio ya uvunjifu wa amani ambayo yamejitokeza katika mikutano ya kampeni hivyo kikiwataka viongozi wa kisiasa kuendesha siasa za kistaarabu zenye dira ya demokrasia itakayotunza tunu za Taifa.
CCM kimesema matukio hayo kwa kiwango kikubwa yameendeshwa na baadhi ya vijana ambao wanatumiwa kuvuruga amani jambo ambalo halipaswi kuvumiliwa.
katika mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi CCM katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Aug
Washauriwa kuepuka uvunjifu wa amani
WATANZANIA wameshauriwa kujiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu.
11 years ago
Habarileo31 Dec
Epukeni uvunjifu wa amani -Makamba
WANANCHI mkoani Kagera wameaswa kulinda amani kwa kuepuka uvunjifu wa amani, kutokana na tofauti za kidini au kisiasa.
10 years ago
Habarileo17 Apr
Viashiria uvunjifu amani vyajitokeza
VIASHIRIA vya uvunjifu wa amani, vimeanza kujitokeza nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Kikwete atahadharisha kauli za uvunjifu wa amani
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Vijana 8 mbaroni kwa uvunjifu wa amani
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata vijana nane waliojihusisha na matukio ya uvunjifu wa amani katika maeneo ya Kigogo, Ilala Boma na Buguruni, huku likiahidi kuendeleza...
10 years ago
StarTV17 Dec
Uchaguzi Serikali za Mitaa, CCM Mwanza chalalamikia usimamizi mbovu.
Na Maliganya Charahani, Mwanza.ALIGANYA
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimelalamikia utaratibu mbovu wa wasimamizi wa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa kuchangia baadhi ya wananchi kushindwa kupiga kura na wengine kukosa majina yao katika daftari la kumbukumbu.
Dosari kubwa zinatajwa na CCM kujitokeza katika wilaya za Sengerema na Kwimba kubwa likielezwa ni kuchelewa kufika kwa vifaa vya kupigia kura.
Mbali na lawama hizo za CCM, nacho Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
9 years ago
Habarileo04 Nov
RC Dar aonya wanaoamsha hisia za uvunjifu wa amani
VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kuheshimu Katiba ya nchi kwa kuacha kuendeleza mgogoro na kuamsha viashiria vya uvunjifu wa amani ya nchi kwa madai ya kutokukubaliana na matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
11 years ago
Habarileo12 Feb
Sumaye: Uvunjifu wa amani ni hatari kwa nchi
JAMII imehadharishwa dhidi ya uvunjifu wa amani kuwa ni hatari kwa maendeleo ya uchumi wa nchi na watu kwa ujumla. Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye alisema hali ya utulivu ni chachu katika kukuza uchumi.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka
JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...