Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VUGU VUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA MKOANI PWANI.

Mtoto Loida Goodluck Kutoka shule ya Sekondari ya  Simbani akichangia mada katika Mdahalo huoMjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa mtoto Joyce Michael akizungumza jambo wakati wa Mdahalo  huo
Jastin Moses Mratibu wa mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya mtoto kutoka Plan International akichangia mchango wake wakati wa mdahalo huo Ombeni Ally Mkuu wa Shule ya Sekondari Simbani akifafanua Jambo katika mdahalo  huoRamadhan Lutambi mgombea udiwani kata ya Kibaha maili Moja kupitia Chadema...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

VUGUVUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Simbani, Akram-Shabani,akizungumza katika Mdahalo wa Walinde Watoto uliowaleta pamoja wapiga kura, watoto na wagombea wa nafasi za Ubunge na Udiwani uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani jana. Baadhi ya wakazi wa Kibaha Mkoani Pwani  waliohudhuria mdahalo huo.Mratibu wa mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya mtoto kutoka Plan International, Jastin Moses akizungumza  katika Mdahalo wa Walinde Watoto uliowaleta pamoja wapiga kura, watoto na wagombea wa nafasi za Ubunge na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vugu vugu la Muslim Brotherhood yadaiwa kuunda jeshi

Utawala wa Misri umeishutumu kundi la Muslim Brotherhood kwa kuunda jeshi lake ili kushambulia wanajeshi wa serikali

 

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA KISARAWE WASHIRIKI MDAHALO WA AJENDA YA WATOTO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015


Ndg Abel Mudo, mgombea wa udiwani kata ya Kisarawe kupitia CCM akichangia katika mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo ulihusisha pia wakazi wa kata ya kisaraweBaadhi ya wakazi ya kata wa kisarawe wakifuatilia kwa makini mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo wa  ajenda ya watoto ullohusisha wagombea wa udiwani kupiitia vyama vya CCM na Chadema 


Mmoja wa wananchi wa kata ya kisarawe akichangia katika mdahalo wa ajenda ya  watoto kuelekea uchaguzi mkuu  ambapo ulihusisha wanafunzi na wagombea  wa...

 

10 years ago

Michuzi

Dar City kukipiga na Kombaini ya Vikawe, Kibaha Mkoani Pwani

Kiungo mshambuliaji, Haruna Moshi ‘Boban’ na kipa, Juma Kaseja ni kati ya wachezaji watakaoiongoza timu ya Dar City kesho Jumapili Aprili 26,2015 kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kombaini ya Vikawe iliyopo Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa mratibu wa mchezo huo, Athuman Tippo ‘Zizzou’, mchezo umeandaliwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha michezo mkoani Pwani.
Tippo alisema kikosi cha Dar City kitajumuisha pia baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na kubainisha kuwa mechi hiyo itachezwa kesho...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI LEO KATIKA UJENZI WA TAIFA, KIBAHA MKOANI PWANI

  Wazee wa kazi wakiwa katika kazi ya ujenzi wa Taifa (a.k.a Zege halilali) leo walipo naswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa Kibaha Mkoani Pwani.Wanamama ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa katika ubora wake wa kuchanganya zege ili lisilale kama alivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo Kibaha mkoani Pwani. Hapa kazi tuu walisikika wakisema.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ZA KUUA WADUDU, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa mbu, kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA NIC YAIPIGA JEKI HOSPITALI YA MEDEWELL, ILIYOPO KIBAHA MKOANI PWANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NIC, Hamida Simbaulanga akikabidhiana cheki ya shilingi 5,500,000 na  Afisa utawala wa hospitali ya Medewell, Amina Ramadhani, baada ya wafanyakazi wa benki ya NIC kutembelea Hospitali ya Medewell iliyopo Kibaha Mkoani Pwani.  Afisa utawala wa hospitali ya Medewell, Amina Ramadhani akitoa maelekezo kwa viongozi wa benki ya NIC mara baada ya wafanyakazi wa benki ya NIC kutembelea katika hospitali hiyo mwishoni mwa wiki Kibaha Mkoani Pwani. Baadhi ya wagonjwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zoezi la uboreshwaji daftari la wapigakura laendelea mkoani Pwani, Rais Jakaya Kikwete ajiandikisha kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo jana.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.

Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa: Ardhi ajenda Uchaguzi Mkuu Monduli

WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema ajenda kuu katika uchaguzi ujao katika Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha ni migogoro ya ardhi na hana uhakika kama viongozi wa vijiji waliojiingiza katika migogoro hiyo watarudi madarakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani