Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar City kukipiga na Kombaini ya Vikawe, Kibaha Mkoani Pwani

Kiungo mshambuliaji, Haruna Moshi ‘Boban’ na kipa, Juma Kaseja ni kati ya wachezaji watakaoiongoza timu ya Dar City kesho Jumapili Aprili 26,2015 kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kombaini ya Vikawe iliyopo Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa mratibu wa mchezo huo, Athuman Tippo ‘Zizzou’, mchezo umeandaliwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha michezo mkoani Pwani.
Tippo alisema kikosi cha Dar City kitajumuisha pia baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na kubainisha kuwa mechi hiyo itachezwa kesho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI LEO KATIKA UJENZI WA TAIFA, KIBAHA MKOANI PWANI

  Wazee wa kazi wakiwa katika kazi ya ujenzi wa Taifa (a.k.a Zege halilali) leo walipo naswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa Kibaha Mkoani Pwani.Wanamama ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa katika ubora wake wa kuchanganya zege ili lisilale kama alivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo Kibaha mkoani Pwani. Hapa kazi tuu walisikika wakisema.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA ATEMBELEA KIWANDA CHA DAWA ZA KUUA WADUDU, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mitambo ya kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu kinachojengwa na watalaamu kutoka Cuba, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalaamu kutoka Cuba wanaojenga kiwanda cha dawa za kuua wadudu hasa mbu, Kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua kiwanda cha kutengeneza dawa za wadudu hasa mbu, kibaha mkoani Pwani Mei 8, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA NIC YAIPIGA JEKI HOSPITALI YA MEDEWELL, ILIYOPO KIBAHA MKOANI PWANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NIC, Hamida Simbaulanga akikabidhiana cheki ya shilingi 5,500,000 na  Afisa utawala wa hospitali ya Medewell, Amina Ramadhani, baada ya wafanyakazi wa benki ya NIC kutembelea Hospitali ya Medewell iliyopo Kibaha Mkoani Pwani.  Afisa utawala wa hospitali ya Medewell, Amina Ramadhani akitoa maelekezo kwa viongozi wa benki ya NIC mara baada ya wafanyakazi wa benki ya NIC kutembelea katika hospitali hiyo mwishoni mwa wiki Kibaha Mkoani Pwani. Baadhi ya wagonjwa...

 

9 years ago

Vijimambo

VUGU VUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA MKOANI PWANI.

Mtoto Loida Goodluck Kutoka shule ya Sekondari ya  Simbani akichangia mada katika Mdahalo huoMjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa mtoto Joyce Michael akizungumza jambo wakati wa Mdahalo  huo
Jastin Moses Mratibu wa mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya mtoto kutoka Plan International akichangia mchango wake wakati wa mdahalo huo Ombeni Ally Mkuu wa Shule ya Sekondari Simbani akifafanua Jambo katika mdahalo  huoRamadhan Lutambi mgombea udiwani kata ya Kibaha maili Moja kupitia Chadema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbeya City yawafunza soka Nakonde Kombaini Zambia

TIMU ya soka ya Mbeya City inayojiandaa na Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza Septemba 20, juzi iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kombaini ya Mjini Nakonde, Zambia katika...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanzaBondia Mustafa Dotto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huoBondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa...

 

9 years ago

Michuzi

BONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA AZIKWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini (BFT) Wililo Lukelo akitoa salam za rambirambi kwa niaba ya wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba, yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana.Promota wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Jay Msangi akishirikiana na waombolezaji wengine kubeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba wakati wa safari ya kuelekea kwenye mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani jana.Waombolezaji wakielekea...

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAFUNGUA WARSHA YA MIRADI YA UJENZI MJINI KIBAHA-PWANI LEO

 Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge mara baada ya kufungua warsha hiyo. Mkurugenzi wa miradi wa TASAF Amadeus Kamagenge akifungua warsha ya miradi ya ujenzi kwa wataalam wa halmashauri ya manispaa ya kibaha ikiwa ni moja ya mikakati ya kufanikisha mpango wa kunusuru kaya masikini unao Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakimsikilza kwa makini mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge (hayupo picha)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani