Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA AZIKWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini (BFT) Wililo Lukelo akitoa salam za rambirambi kwa niaba ya wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba, yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana.Promota wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Jay Msangi akishirikiana na waombolezaji wengine kubeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba wakati wa safari ya kuelekea kwenye mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani jana.Waombolezaji wakielekea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanzaBondia Mustafa Dotto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huoBondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Yombayomba kuzikwa leo Kibaha

Mazishi ya Bondia Michael Yombayomba yamepangwa kufanyika leo saa 10 alasiri katika makaburi ya Mailimoja, Kibaha.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA PWANI AZINDUA MRADI MPYA WA VIWANJA VYA PANGANI,KIBAHA

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akikata Utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi mpya wa Viwanja vya Pangani Mjini Kibaha,Mkoani Pwani jana Agosti 4,2014.Mradi huo Unaratibiwa na Kampuni ya Space & Development kwa Ufadhili wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB Development Bank).Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akiangalia Maji yanayokoka kwenye Kisima kikubwa kilichopo ndani ya Mradi huo ambacho kina uwezo wa kutoa Lita elfu 10 kwa saa,ikiwa ni sehemu ya Miundombinu iliyopo...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI

Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati na rangi zenye thamani ya sh.milioni 3.5 zilizotolewa na mfuko huo jana, kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara. Anayeshuhudia makabidhiano hayo katikati ni Mkuu wa shule hiyo, Flora...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI

MFUKO wa Pensheni wa LAPF umeunga jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara kwa kutoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya sh.milioni 3.5 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo Mlandizi wilayani humo jana, Kaimu Meneja wa Kanda ya Mashariki wa mfuko huo, Isaya Mwakifulefule ...

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI‏

Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati na rangi zenye thamani ya sh.milioni 3.5 zilizotolewa na mfuko huo jana, kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara....

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA ZUMBA KUKWE KUZIPIGA NA SWEET KALULU KIBAHA

Sweet kaluluZumba Kukwe
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini mwenye machachali mengi na ngumi nzito awapo ulingoni Zumba Kukwe “chenji dola” anatarajia kupanda ulingoni alhamis ya tarehe 27/11/2014 kuzipiga na bondia mkongwe Sweet kalulu katika ukumbi wa kontena uliopo kibaha maili moja, Watacheza pambano la raundi nane, lisilo la ubingwa ila mshindi kati ya sweet kalulu na zumba kukwe atacheza na mshindi kati ya Thomas Mashali na dula mbabe katika pambano la ubingwa, mashali na dula wao...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea Urais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani