Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yombayomba kuzikwa leo Kibaha

Mazishi ya Bondia Michael Yombayomba yamepangwa kufanyika leo saa 10 alasiri katika makaburi ya Mailimoja, Kibaha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BONDIA MICHAEL YOMBAYOMBA AZIKWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za ridhaa nchini (BFT) Wililo Lukelo akitoa salam za rambirambi kwa niaba ya wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakati wa mazishi ya bondia Michael Yombayomba, yaliyofanyika Kibaha mkoa wa Pwani jana.Promota wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Jay Msangi akishirikiana na waombolezaji wengine kubeba jeneza la marehemu Michael Yombayomba wakati wa safari ya kuelekea kwenye mazishi yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani jana.Waombolezaji wakielekea...

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

5 years ago

CCM Blog

PIERRE NKURUNZIZA KUZIKWA LEO

Pierre NkurunzizaCHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGESMwili wa aliyekuwa rais wa Burundi hayati Pierre Nkurunziza unazikwa leo kwenye makaburi ya mji wa Gitega ,mji mkuu wa kisiasa ulioko katikati mwa BurundiHafla ya mazishi zinatarajiwa kuongozwa na rais mpya jenerali Evariste Ndayishimiye na wakuu wengine wa serikali.Hayati Nkurunziza alifariki dunia tarehe 8 mwezi huu ,miezi miwili kabla ya kukabidhi madaraka kwa mrithi wake kufwatia uchaguzi uliofanyika mwezi wa tano.Kwa mjibu wa tangazo lililotolewa na serikali...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Munyuku, Karashani kuzikwa leo

WAANDISHI wa Habari, Innocent Munyuku (New Habari -2006 Ltd) na Baraka Karashani (mwandishi wa kujitegemea) watazikwa leo kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam na Mkoani Morogoro. Munyuku alifariki dunia...

 

10 years ago

CloudsFM

AISHA MADINDA KUZIKWA LEO

Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.

Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.

Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.

 

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliouawa Ufaransa kuzikwa leo

Mazishi ya wachora vibonzo saba wa jarida la Charlie Hbdo waliouawa wiki jana yanafanyika leo mjini Paris.

 

10 years ago

Habarileo

Shehe Mkuu kuzikwa leo

Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba enzi za uhai wakeWAKATI mwili wa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba (78) aliyefariki dunia jana asubuhi ukitarajiwa kuzikwa leo jioni mkoani Shinyanga, Rais Jakaya Kikwete ameungana na Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuomboleza kifo cha kiongozi huyo wa juu wa kiroho nchini.

 

10 years ago

Bongo Movies

Difender Kuzikwa Leo Magomeni

MCHEKESHAJI Fadhil Said ‘Diffender’ anatarajhia kuzikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, saa kumi alasiri , msani huyo aliyefariki jana baada ya kuumwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili.

Akiongea na Bongo Movies.com mkuu wa maafa kitaifa Kafiten amesema kuwa marehemu alilazwa katika Hospitali hiyo akisumbuliwa na maradhi yaliyoshambulia mapafu pamoja na kutapika damu akiwa katika wodi ya Mwaisela.

“Msiba upo nyumbani kwao Kigogo shughuli zote zitafanyika...

 

11 years ago

Habarileo

Ngw’anakilala kuzikwa leo

MWANDISHI wa habari nguli, Nkwabi Ngw'anakilala ambaye amefariki mwishoni mwa wiki, atazikwa leo shambani kwake Kibamba, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani