Difender Kuzikwa Leo Magomeni
MCHEKESHAJI Fadhil Said ‘Diffender’ anatarajhia kuzikwa leo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, saa kumi alasiri , msani huyo aliyefariki jana baada ya kuumwa na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili.
Akiongea na Bongo Movies.com mkuu wa maafa kitaifa Kafiten amesema kuwa marehemu alilazwa katika Hospitali hiyo akisumbuliwa na maradhi yaliyoshambulia mapafu pamoja na kutapika damu akiwa katika wodi ya Mwaisela.
“Msiba upo nyumbani kwao Kigogo shughuli zote zitafanyika...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2LCIQnRzW30/VO8TFbMw2eI/AAAAAAAHGAY/3gYV0_7g5Vw/s72-c/DSC_0810.jpg)
MAGOMENI MAPIPA YA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-2LCIQnRzW30/VO8TFbMw2eI/AAAAAAAHGAY/3gYV0_7g5Vw/s1600/DSC_0810.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hqznTD9lDPs/VO8TGgHTO9I/AAAAAAAHGAo/pWFSeC3Em1k/s1600/DSC_0870.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5vYK1UuWyzE/VO8TFkLd5wI/AAAAAAAHGAc/4E3etEEEtUQ/s1600/DSC_0866.jpg)
Magomeni Mapipa kuelekea Kariakoo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-p3NU5tJnS3k/VO8THA2ZXII/AAAAAAAHGAs/vkfh6NRvsPE/s1600/DSC_0906.jpg)
10 years ago
Habarileo16 Jun
Shehe Mkuu kuzikwa leo
WAKATI mwili wa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba (78) aliyefariki dunia jana asubuhi ukitarajiwa kuzikwa leo jioni mkoani Shinyanga, Rais Jakaya Kikwete ameungana na Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kuomboleza kifo cha kiongozi huyo wa juu wa kiroho nchini.
10 years ago
CloudsFM18 Dec
AISHA MADINDA KUZIKWA LEO
Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.
Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.
Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Yombayomba kuzikwa leo Kibaha
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Munyuku, Karashani kuzikwa leo
WAANDISHI wa Habari, Innocent Munyuku (New Habari -2006 Ltd) na Baraka Karashani (mwandishi wa kujitegemea) watazikwa leo kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam na Mkoani Morogoro. Munyuku alifariki dunia...
11 years ago
Habarileo01 Jul
Ngw’anakilala kuzikwa leo
MWANDISHI wa habari nguli, Nkwabi Ngw'anakilala ambaye amefariki mwishoni mwa wiki, atazikwa leo shambani kwake Kibamba, Dar es Salaam.
10 years ago
Mtanzania23 Feb
Mez B kuzikwa Dodoma leo
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.
Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.
Alisema...
5 years ago
CCM Blog26 Jun
PIERRE NKURUNZIZA KUZIKWA LEO
![Pierre Nkurunziza](https://ichef.bbci.co.uk/news/640/cpsprodpb/D39D/production/_112837145_mediaitem112837144.jpg)
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waliouawa Ufaransa kuzikwa leo