Mez B kuzikwa Dodoma leo
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
MWILI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama ‘Mez B’, unatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya wahanga wa treni, Mailimbili mkoani hapa.
Mez B alifariki dunia Ijumaa ya wiki iliyopita, mjini hapa wakati akiwaishwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akidaiwa kuugua ugonjwa wa Pneumonia.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini hapa, mama mzazi wa marehemu, Merry Katambi, alisema mwanaye atazikwa leo katika makaburi hayo ya wahanga wa treni.
Alisema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Mez B kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wahanga,Dodoma
ALIYEKUWA memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye alifariki Ijumaa iliyopita mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dodoma.
Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao ulikuwa unamumbua siku nyingi.
Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na...
10 years ago
GPLMEZ B KUZIKWA JUMATATU MAKABURI YA WAHANGA DODOMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
10 years ago
Vijimambo20 Feb
MSANII MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA
![](http://api.ning.com/files/cGEsfZahF3v21JSeEu73srVOoCxhPMpPVIAO*sxCvpifgZaBCdfCdBsuE86Gi9bsXA17BQz5hjFBex1zjYHksFZA7-bcP1jm/MezB1.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0040.jpg)
TASWIRA ZA MAZISHI YA MAREHEMU MEZ B SIKU YA JANA DODOMA
10 years ago
Vijimambo24 Feb
Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0036.jpg)
Amin
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0037.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0038.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0039.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0040.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0041.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0042.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s72-c/MEZ-B2.jpg)
JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s1600/MEZ-B2.jpg)
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...
11 years ago
Habarileo01 Jul
Ngw’anakilala kuzikwa leo
MWANDISHI wa habari nguli, Nkwabi Ngw'anakilala ambaye amefariki mwishoni mwa wiki, atazikwa leo shambani kwake Kibamba, Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo14 May
Balozi wa Malawi kuzikwa leo
BALOZI wa Malawi nchini Tanzania aliyefariki ghafla Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam, Flossie Gomile-Chidyaonga, anatazamiwa kuzikwa leo katika jiji alilozaliwa la Blantyre, Malawi.