TASWIRA ZA MAZISHI YA MAREHEMU MEZ B SIKU YA JANA DODOMA
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0040.jpg)
Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga Maili mbili jana. Mama mzazi wa Mez B, Marry Mkandawile (katikati) akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Feb
Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0036.jpg)
Amin
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0037.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0038.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0039.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0040.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0041.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150223-WA0042.jpg)
10 years ago
GPLTASWIRA ZA MAZISHI YA MSANII MABOVU IRINGA JANA
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa jana kuelekea Same Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dotto Mzava likishushwa Kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika kanisa la Wasabato Manzese uzuri kwaajili ya sala ya kuombea kabla ya Mwili kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Mchungaji wa kanisa la Adventist wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Maxence Mello akitoa historia fupi ya Marehemu Dotto...
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-vHJy8mHNzag/VAmxVZ17zhI/AAAAAAAGe3I/oSCfZkNfuCI/s640/1.jpg)
TASWIRA YA AJALI MUSOMA SIKU YA JANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAG5aNbx6TySUwEIGlBsyfFhe1wlvg0CHsmQXA*xwN4F7tCVPnEgVzb8Yd-zMwjJK3RR*xOML4RqOf0Y4A6b1fj3/1.jpg?width=640)
MAZISHI YA PHILLIP HUGHES SIKU YA JANA, AUSTRALIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W-BK82a1GsuuEsZzo1cZe*DA7NSbMmwlDDTv8bN2m41ITlAatkPfNvLWivucvBRS2ocNGAK01ESqisVXYrQ*AX92hJG97nxt/1.jpg?width=650)
TASWIRA ZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA KILIVYOENDESHWA JANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YgCoF*IO68N1sdA5ajYD3uzbNRv2YAgkoHR9K*MLaCprB6*C-maXaDZ6f2GWzqA5KbcqMRXuYa5mrOfxPqD6bwg/7.jpg)
MAZISHI YA MTOTO NASRA MJINI MOROGORO YAKUSANYA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI SIKU YA JANA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OQExrRc44Ys/VYwRpbnf6fI/AAAAAAAHj94/j4G1Q0vKSG0/s72-c/s.jpg)
RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD MAX, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI
![](http://3.bp.blogspot.com/-OQExrRc44Ys/VYwRpbnf6fI/AAAAAAAHj94/j4G1Q0vKSG0/s400/s.jpg)
NA. MUDA TUKIO MHUSIKA MAHALI 1. 12:00 - 02:00 Familia kuandaa Mwili wa Marehemu Familia Nyumbani 2. 02:00 - 04:00 Taratibu za Kimila Familia Nyumbani 3. 04:00 - 05:00 Chai/Chakula Familia Nyumbani 4. 04:00 - 05:00 § Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee Katibu wa Bunge Karimjee
§ Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa wa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika Nafasi zao ...