Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA MAZISHI YA MSANII MABOVU IRINGA JANA

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa siku ya jana.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA MSANII MABOVU IRINGA JANA

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa siku ya jana.Msafara wa magari kuelekea makaburini.kwa picha zaidi bofya soma zaidiMwili wa marehemu Mabovu ukiwekwa sawa kabla ya kuzikwa siku ya jana.Waombolezaji wakiuzika mwili wa Mabovu.Msanii Joh Makini akiwa katika mazishi.Wasanii mbalimbali wakiwa katika mazishi ya mabovu jana.Bashiri akiongelea kifo cha Mabovu.Watangazaji wa Radio Ebony Fm waliofika katika mazishi hayo...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.

Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii  kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAZISHI YA MAREHEMU MEZ B SIKU YA JANA DODOMA

Wananchi wakiwa wamebeba  mwili wa marehemu Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa na marafiki mwili wake ulielekea kupumzishwa katika makaburi ya Wahanga Maili mbili jana. Mama mzazi wa Mez B, Marry Mkandawile (katikati) akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za… ...

 

10 years ago

Bongo5

Marehemu Geez Mabovu azikwa Mlolo, Iringa

Mazishi ya rapper Geez Mabovu yamefanyika jioni ya Alhamis ya wiki hii kwenye makaburi yaliyopo eneo la Mlolo mjini Iringa. Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Breaking News: Msanii maarufu wa Hip Hop nchini Geez Mabovu afariki dunia

Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo mpaka mauti yalipomkuta.

Geez atazikwa kesho (Leo) jioni November 13 2014. 

 

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA AJALI MUSOMA SIKU YA JANA


Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba, Mjini Musoma mchana siku ya jana.

Basi la Kampuni ya MWANZA COACH lililokuwa likitokea Musoma kwenda Mwanza linavyoonekana baada ya...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA KIM KARDASHIAN JANA NEW YORK

Staa maarufu duniani, Kim Kardashian (34) akiwa katika mtoko wa chakula cha mchana jana akiingia kwenye Mgahawa wa Nate, New York akiwa amekavalia kigauni kinachoonyesha tumbo lake.…

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA PHILLIP HUGHES SIKU YA JANA, AUSTRALIA

Misa ya kumuombea mchezaji wa cricket wa Australia, Phillip Hughes ilifanyika siku ya jana katika nyumbani kwake jijini Macksville.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani