Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.

Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii  kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Breaking News: Msanii maarufu wa Hip Hop nchini Geez Mabovu afariki dunia

Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo mpaka mauti yalipomkuta.

Geez atazikwa kesho (Leo) jioni November 13 2014. 

 

 

10 years ago

Bongo5

Breaking: Geez Mabovu afariki dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa rapper Geez Mabovu amefariki dunia leo mjini Iringa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Taarifa zaidi zinakuja. December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike […]

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA

Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT :JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT : KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko na huzuni kubwa nawatangazia wanachama wote wa CUF-Chama Cha Wananchi na Umma wa Watanzania kifo Cha Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Khalifa Suleyman Khalifa kilichotokea usiku huu.

Marehemu Khalifa amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na Matatizo ya ini.

Kwa hakika Chama kimepata pigo kubwa na kwa yakini marehemu ameacha pengo ambalo haliwezi kuzibika kirahisi.

CUF-Chama Cha Wananchi kinatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu na...

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MBUNGE WA JIMBO LA SUMVE RICHARD NDASA AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge, Job Ndugai amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndasa kilichotokea usiku wa kumkia leo jijini Dodoma. Spika Ndugai amehairisha shughuli za Bunge ikiwa ni kanuni za maombelezo.

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

Marehemu Geez Mabovu azikwa Mlolo, Iringa

Mazishi ya rapper Geez Mabovu yamefanyika jioni ya Alhamis ya wiki hii kwenye makaburi yaliyopo eneo la Mlolo mjini Iringa. Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku […]

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BANZA STONE AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

Taarifa iliyotufikia chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki wa Dansi hapa nchini, Ramadhan Masanja "Banza Stone" amefariki dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza karibu na Lion Hotel jijini Dar es salaam.
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani