Marehemu Geez Mabovu azikwa Mlolo, Iringa
Mazishi ya rapper Geez Mabovu yamefanyika jioni ya Alhamis ya wiki hii kwenye makaburi yaliyopo eneo la Mlolo mjini Iringa. Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM14 Nov
10 years ago
Bongo522 Jan
Baba wa marehemu Geez Mabovu amtembelea Lamar kusikiliza kazi alizoacha mwanae
Baba wa marehemu, Geez Mabovu, Mzee Ally, amemtembelea producer Lamar kwenye studio zake jijini Dar es Salaam na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu kazi za mwanae zilizosalia. Lamar ameiambia Bongo5 kuwa Mabovu aliacha ngoma saba ambazo zitatoka kwa njia ya album itakayouzwa. “Alikuja tu kunitembelea na kusikiliza kazi ambazo aliacha Geez,” amesema Lamar. “Mimi ndo nina […]
10 years ago
Michuzi13 Nov
NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.
![](https://3.bp.blogspot.com/-rBbIFEx69LI/VGO81SWEPLI/AAAAAAACuro/EtX8p6Ge5dc/s640/index.jpg)
10 years ago
Bongo512 Nov
Breaking: Geez Mabovu afariki dunia
Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa rapper Geez Mabovu amefariki dunia leo mjini Iringa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Taarifa zaidi zinakuja. December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJSI3sXfh3WDvaNjOWDEr29EueevlJ3pNgkDNH4pNkvsgc8C6FyEb0V9OcsKakXMS2RbusQzSnZCqZrasg431v*jG3mK7pL8/GeezMabovu.jpg?width=650)
MWANAMUZIKI GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA
Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez...
11 years ago
Michuzishehe mkuu wa mkoa wa iringa marehemu Ally Tagalile azikwa leo
11 years ago
GPL16 Dec
10 years ago
Bongo513 Nov
Weusi waahirisha show ya Mbeya kufuatia kifo cha Geez Mabovu
Weusi wamethibitisha kwa Bongo5 kuwa wameahirisha show yao ya Funga Mwaka iliyokuwa ifanyike jijini Mbeya Ijumaa hii kufuatia kifo cha rapper Geez Mabovu kilichotokea Jumatano jioni. Joh Makini amesema Geez alikuwa kama mtu wa familia yao. “Kusema na ukweli hatutaweza kufanya show ya Mbeya,” Joh Makini ameimbia Bongo5 kwa huzuni. “Ni kwasababu Geez ni mshikaji […]
10 years ago
Bongo513 Nov
Msiba wa Geez Mabovu: Young Killer aahirisha kuachia video ya 13 leo
Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania