Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msiba wa Geez Mabovu: Young Killer aahirisha kuachia video ya 13 leo

Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’,july 12

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya ijumaa july 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘My Power’ ambayo imetengenezwa na director mpya Jackson Joakim . Akizungumza na bongo5 , Young Killer, amesema video ya My Power ni video nzuri kiasi chake ambayo haijamgharimu pesa nyingi. “My Power […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Young Killer kuachia ‘Mchana na Giza’

KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Erick Msodoki ‘Young Killer’, anajipanga kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Mchana na Giza’ hivi karibuni. Young Killer ni miongoni mwa...

 

10 years ago

GPL

MWANAMUZIKI GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA

Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI wa Hip Hop nchini, Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez...

 

10 years ago

Bongo5

Breaking: Geez Mabovu afariki dunia

Taarifa zilizotufikia hivi punde zimedai kuwa rapper Geez Mabovu amefariki dunia leo mjini Iringa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Taarifa zaidi zinakuja. December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike […]

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo5

Marehemu Geez Mabovu azikwa Mlolo, Iringa

Mazishi ya rapper Geez Mabovu yamefanyika jioni ya Alhamis ya wiki hii kwenye makaburi yaliyopo eneo la Mlolo mjini Iringa. Joh Makini ni miongoni mwa wasanii waliohudhuria mazishi hayo Wengine waliohudhuria ni pamoja na producer Lamar na members wengine wa Weusi. Geez alifariki usiku wa jana akiwa kwao mjini humo baada ya kuugua kwa siku […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani