Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’,july 12

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya ijumaa july 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘My Power’ ambayo imetengenezwa na director mpya Jackson Joakim . Akizungumza na bongo5 , Young Killer, amesema video ya My Power ni video nzuri kiasi chake ambayo haijamgharimu pesa nyingi. “My Power […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Msiba wa Geez Mabovu: Young Killer aahirisha kuachia video ya 13 leo

Young Killer ametangaza kuaharisha kuachia video ya wimbo wake ’13’ aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku. Video hiyo ilikuwa iachie Alhamis hii. Kupitia Instagram, Killer amesema video hiyo sasa itaachiwa Ijumaa ijayo. Kuna taarifa kuwa Geez anaweza kuzikwa leo kwao mjini Iringa.

 

11 years ago

CloudsFM

YOUNG KILLER ATUMIA BAJETI NDOGO KWENYE VIDEO YA NGOMA YAKE YA ‘MY POWER’

Video ya Msanii wa Hip Hop,Young Killer iitwayo ‘The Power’imeelezwa kuwa ni video iliyotumia gharama ndogo pengine kuliko video za wasanii wote wa Kibongo.Aidha wasanii wanaongoza kwa kutumia gharama kubwa kwenye kutengeneza video zao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Sheta, Linah , Navy Kenzo, Weusi ila diamond ametajwa kuongoza kwa kutumia bajeti kubwa zaidi.Huyu hapa Young Killer anafunguka kwanini ngoma yake imetumia gharama ndogo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Young Killer kuachia ‘Mchana na Giza’

KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Erick Msodoki ‘Young Killer’, anajipanga kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Mchana na Giza’ hivi karibuni. Young Killer ni miongoni mwa...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani

Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ambaye pia anatoka Mwanza. Msodoki amezungumza na Bongo 5 kuhusu wimbo huo, “Ni project mpya kabisa kali naweza kusema kwasababu imekutanisha wakali wawili halafu kutoka mji mmoja”, alisema Killer. Amesema kuwa jina la […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Young Killer ft BananaZorro — Umebadilika

Young Killer Msodoki ameachia rasmi video ya wimbo wake ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro. Video imeongozwa na director Hefemi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani