Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani

Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ambaye pia anatoka Mwanza. Msodoki amezungumza na Bongo 5 kuhusu wimbo huo, “Ni project mpya kabisa kali naweza kusema kwasababu imekutanisha wakali wawili halafu kutoka mji mmoja”, alisema Killer. Amesema kuwa jina la […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Fid Q, Young Killer kupokewa kifalme Mwanza

WASANII wa muziki wa hip hop wanaowakilisha Mwanza ‘Rock City’, Farid Kubanda ‘Fid Q’ na Erick Msodoki ‘Young Killer’, wanatarajiwa kupokelewa kifalme mkoani humo baada ya kuchukua tuzo za muziki...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’ muongozaji ni..

Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!! Wakandarasi Nisher na Young Killer wakijadiliana kitu

 

10 years ago

Bongo5

Nisher: Tumekasirika sana round hii, aongoza video ya ’13’ ya Young Killer f/ Fid Q

Baada ya Hefemi kupokea pongezi nyingi kwa video ya ‘3 Chafu’ ya Professor Jay na Adam Juma kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ ya Rich Mavoko, mshindi wa tuzo za watu, Nisher anatarajia kutafuta point zake tatu kwa kushoot video ya wimbo wa Young Killer aliomshirikisha Fid Q ’13’. Fid aliandika […]

 

11 years ago

Bongo5

Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’,july 12

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya ijumaa july 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘My Power’ ambayo imetengenezwa na director mpya Jackson Joakim . Akizungumza na bongo5 , Young Killer, amesema video ya My Power ni video nzuri kiasi chake ambayo haijamgharimu pesa nyingi. “My Power […]

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba arekodi wimbo na Jose Chameleone

Barnaba amerekodi wimbo na msanii wa Uganda, Jose Chameleone. Barnaba na Jose Chameleone wakiwa na mpiga picha, Albert Manifesta walipoenda kupiga picha ya kava ya wimbo huo Wimbo huo unaitwa Nakutunza na umerekodi kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwa na Barnaba. “With my Broo @jchameleone From #UG Asante sana for you’re Time Asante Sana […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani