Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’ muongozaji ni..

Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!! Wakandarasi Nisher na Young Killer wakijadiliana kitu

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Young Killer aanza kushoot video ya ‘Umebadilika’ na director Hefemi

Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba (Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo aliomshirikisha Banana Zorro. Histry..beybiiii #UMEBADILIKA … Cc @hefemi @mxcarter – Young Killer Safari hii Msodoki amemkabidhi director Hefemi Mikoba ya kuiongoza video hiyo. […]

 

10 years ago

Bongo5

Nisher: Tumekasirika sana round hii, aongoza video ya ’13’ ya Young Killer f/ Fid Q

Baada ya Hefemi kupokea pongezi nyingi kwa video ya ‘3 Chafu’ ya Professor Jay na Adam Juma kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ ya Rich Mavoko, mshindi wa tuzo za watu, Nisher anatarajia kutafuta point zake tatu kwa kushoot video ya wimbo wa Young Killer aliomshirikisha Fid Q ’13’. Fid aliandika […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fid Q, Young Killer kupokewa kifalme Mwanza

WASANII wa muziki wa hip hop wanaowakilisha Mwanza ‘Rock City’, Farid Kubanda ‘Fid Q’ na Erick Msodoki ‘Young Killer’, wanatarajiwa kupokelewa kifalme mkoani humo baada ya kuchukua tuzo za muziki...

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani

Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ambaye pia anatoka Mwanza. Msodoki amezungumza na Bongo 5 kuhusu wimbo huo, “Ni project mpya kabisa kali naweza kusema kwasababu imekutanisha wakali wawili halafu kutoka mji mmoja”, alisema Killer. Amesema kuwa jina la […]

 

10 years ago

Bongo5

Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video

Fareed Kubanda a.k.a Fid Q amesema anatarajia kwenda nje ya nchi kushoot video yake mpya. Rapper huyo wa Rock City amesema amedhamiria kuanza kufanya video nzuri baada ya kukaa muda mrefu bila video nzuri au wakati mwingine kutofanya kabisa licha ya kutoa hits nyingi. “Nimedhamiria kufanya video nzuri, kwahiyo kiukweli nashindwa kusema itakuwa ni aina […]

 

10 years ago

Bongo5

Young Tuso adai AY na Diamond wanamfanya asite kushoot video!

Rapper anayejiita ‘Mfalme wa Temeke’ Young Tuso ameweka bayana kuwa wasanii wenzake AY na Diamond Platnumz ndio wanaomfanya ashindwe kuzifanyia nyimbo zake video. Tuso amedai kuwa ukubwa wa video zao(ubora wa video) zenye ushindani wa kimataifa humfanya aone muziki wake kuwa wa kibiashara,kutokana na kushindwa kumudu gharama za kutengeneza video zenye ubora huo kwa sababu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani