Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Young Tuso adai AY na Diamond wanamfanya asite kushoot video!

Rapper anayejiita ‘Mfalme wa Temeke’ Young Tuso ameweka bayana kuwa wasanii wenzake AY na Diamond Platnumz ndio wanaomfanya ashindwe kuzifanyia nyimbo zake video. Tuso amedai kuwa ukubwa wa video zao(ubora wa video) zenye ushindani wa kimataifa humfanya aone muziki wake kuwa wa kibiashara,kutokana na kushindwa kumudu gharama za kutengeneza video zenye ubora huo kwa sababu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Young Killer aanza kushoot video ya ‘Umebadilika’ na director Hefemi

Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba (Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo aliomshirikisha Banana Zorro. Histry..beybiiii #UMEBADILIKA … Cc @hefemi @mxcarter – Young Killer Safari hii Msodoki amemkabidhi director Hefemi Mikoba ya kuiongoza video hiyo. […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’ muongozaji ni..

Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!! Wakandarasi Nisher na Young Killer wakijadiliana kitu

 

10 years ago

Bongo5

Linah adai $30,000 walizompa Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ zilimuuma

Kutoa shilingi milioni 49,800,000 na kumkabidhi muongozaji wa video wa Afrika Kusini, Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ ni kitu ambacho Linah hakukifanya kirahisi. Linah ameiambia Bongo5 kuwa wakati anakabidhi pesa hiyo kwa director huyo aliona kama anazitoa. “Godfather tulimkabidhi $15,000 mbele ya mashahidi na baada ya hapo tukamalizia tena dola $15,000 jumla ikawa $30,000 […]

 

10 years ago

Bongo5

Chege adai kushoot video yake Afrika Kusini hakumaanishi Tanzania hakuna maeneo mazuri

Muimbaji wa TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amedai kuwa uamuzi wake na Temba kwenda kufanya video yao ‘Kaunyaka’ nchini Afrika Kusini, hakumaanishi kuwa Tanzania haina maeneo mazuri ya kufanya video bali waliamua kufanya hivyo ili kupata kitu tofauti. Akiongea na East Africa Radio hivi karibuni, Chege amemtolea mfano msanii wa Marekani, John Legend aliyeamua kwenda […]

 

9 years ago

Bongo5

Mafikizolo na Diamond kushoot video ya collabo yao December 10

4X7A0037

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limethibitisha kuwa video ya wimbo waliomshirikisha Diamond itafanyika December 10 mwaka huu.

4X7A0037

Taarifa hiyo imetolewa na member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza kupitia Instagram baada ya kumjibu shabiki wa Diamond aliyeuliza sababu ya kuchelewa kwa wimbo huo.

“We are shooting a video with @diamondplatnumz on the 10th of December boss we know you guys have been waiting, one love.”

Wimbo huo ulifanyika mwaka jana.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond na Mafikizolo kushoot video ya collabo yao ya 2014, mwezi ujao

mondi na mafikizoloMwaka jana (2014) mwezi June, Diamond Platnumz na kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini waliingia studio kufanya collabo ambayo haikuwahi kutoka. Mafikizolo ndio walioomba kufanya collabo hiyo (Ingia hapa). Kama ulikuwa umeshakata tamaa kutokana na muda mrefu kupita, zaidi ya mwaka bila kusikia chochote kuhusu collabo hiyo, habari njema kutoka kwa mshindi wa tuzo ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Diamond amleta Godfather Dar kushoot video zake ‘kimya kimya’

12298834_430293703831416_1645961294_n

Diamond Platnumz ameamua kumleta muongozaji wa video zake, Mike Ogoke maarufu kama Godfather na timu yake kuja kufanya video zake jijini Dar es Salaam.

12298834_430293703831416_1645961294_n
Diamond akiwa na msaidizi wa Godfather, Mike Dube jijini Dar

Muongozaji huyo na timu yake ipo jijini Dar kwa siku ya tano tayari na siku zote hizo imekuwa ikifanya kazi. Ofcourse Diamond na Godfather hawajasema chochote kuhusiana na hilo lakini msaidizi wake Mike Dube ameumwaga ubuyu.

Kwenye Instagram, Dube amepost picha ya pontoni la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani