Chege adai kushoot video yake Afrika Kusini hakumaanishi Tanzania hakuna maeneo mazuri
Muimbaji wa TMK Wanaume Family, Chege Chigunda amedai kuwa uamuzi wake na Temba kwenda kufanya video yao ‘Kaunyaka’ nchini Afrika Kusini, hakumaanishi kuwa Tanzania haina maeneo mazuri ya kufanya video bali waliamua kufanya hivyo ili kupata kitu tofauti. Akiongea na East Africa Radio hivi karibuni, Chege amemtolea mfano msanii wa Marekani, John Legend aliyeamua kwenda […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Dec
Tatizo kubwa la kiafya la Chege lilikaribia kutia doa utengenezaji wa video yake ya Sweety Sweety Afrika Kusini
![CHEGE-NEW](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/CHEGE-NEW-300x194.jpg)
Chege amesimulia changamoto kubwa iliyompata wakati akishoot video ya wimbo wake Sweety Sweety nchini Afrika Kusini na director Justin Campos.
Chege ameiambia Bongo5 kuwa moja ya changamoto kubwa iliyomkuta ni kupata maumivu ya kiuno hali ambayo ilisababisha kusitishwa kwa shughuli hiyo.
“Kuna ile short ya kwanza kabisa nilipata tatizo la maumivu ya kiuno, kilikuwa kinauma sana ikabidi tupumzike na director akanipa dawa,” amesema.
“Lakini nashukuru Mungu baada ya muda fulani kikapoa na...
10 years ago
Mwananchi20 Apr
VURUGU AFRIKA KUSINI: Membe adai hakuna mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini
9 years ago
Bongo507 Nov
Mwana FA kwenda Afrika Kusini kushoot video ya wimbo mpya
![FA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/FA-300x194.jpg)
Mwana Fa ni miongoni mwa wasanii waliositisha kazi zao za muziki ili kupisha mambo ya kampeni pamoja na uchaguzi, na sasa baada ya hayo yote kumalizika yuko tayari kurejea kwenye uwanja wake wa kujidai, yaani muziki.
Binamu amesema kuwa ana kazi nyingi ambazo amezifanya na anaendelea kufanya zingine, “Kweli nina kazi wala sio kazi moja wala sio kazi mbili, yani nina kazi kadhaa na wiki ijayo narekodi nyingine,” aliiambia Planet Bongo ya East Africa Radio. “ lakini haya mambo ya uchaguzi...
9 years ago
Bongo530 Nov
Mo Music kwenda Afrika Kusini kushoot video ya ‘Skendo’ na director huyu…
![Mo Music](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mo-Music-300x194.jpg)
Muimbaji wa Bongo fleva, Moshi Katemi maarufu kama Mo Music anatarajia kwenda nchini Afrika Kusini kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Skendo’ aliouachia hivi karibuni.
Hit Maker huyo wa ‘Basi Nenda’ amesema licha ya kuwa anaenda kushoot nje ya nchi lakini atamtumia director wa hapa nyumbani Adam Juma ambaye ndiye alishoot video zake mbili zilizopita.
“Sitaki kuwaangusha mashabiki wangu, nitakwenda Afrika Kusini kufanya video ya Skendo ila nitamtumia Adam Juma kwa sababu ni mwongozaji bora na...
9 years ago
Bongo506 Nov
Ben Pol aenda Afrika Kusini kushoot video na Justin Campos
![Ben na Campos2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ben-na-Campos2-300x194.jpg)
Ben Pol ameongezeka kwenye orodha (inayozidi kuwa ndefu) ya wasanii wa Tanzania wenye mipango au walioishaenda Afrika Kusini kushoot video zao za muziki.
Ben Pol akiwa na Justin Campos na timu yake na Rossie M Afrika Kusini
King wa RnB ameamua kufunga safari kwenda Johannesburg kwaajili ya kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Ningefanyaje’ aliowashirikisha Avril wa Kenya na msanii mpya Rossie M, ambayo amechagua kufanya na director Justin Campos wa Gorilla Films.
Kwanini kamchagua Justin Campos...
9 years ago
Bongo527 Oct
Chege atua South kushoot video na Justin Campos
10 years ago
Bongo528 Aug
Young Tuso adai AY na Diamond wanamfanya asite kushoot video!
10 years ago
Bongo507 Oct
Linah adai $30,000 walizompa Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ zilimuuma
10 years ago
GPLMEMBE: HAKUNA MTANZANIA ALIYEUAWA AFRIKA KUSINI