Diamond na Mafikizolo kushoot video ya collabo yao ya 2014, mwezi ujao
Mwaka jana (2014) mwezi June, Diamond Platnumz na kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini waliingia studio kufanya collabo ambayo haikuwahi kutoka. Mafikizolo ndio walioomba kufanya collabo hiyo (Ingia hapa). Kama ulikuwa umeshakata tamaa kutokana na muda mrefu kupita, zaidi ya mwaka bila kusikia chochote kuhusu collabo hiyo, habari njema kutoka kwa mshindi wa tuzo ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Nov
Mafikizolo na Diamond kushoot video ya collabo yao December 10
![4X7A0037](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/4X7A0037-300x194.jpg)
Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limethibitisha kuwa video ya wimbo waliomshirikisha Diamond itafanyika December 10 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa na member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza kupitia Instagram baada ya kumjibu shabiki wa Diamond aliyeuliza sababu ya kuchelewa kwa wimbo huo.
“We are shooting a video with @diamondplatnumz on the 10th of December boss we know you guys have been waiting, one love.”
Wimbo huo ulifanyika mwaka jana.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge...
9 years ago
Bongo530 Nov
Diamond na AKA washoot video ya collabo yao Afrika Kusini
![AKA X Diamond](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/AKA-X-Diamond-300x194.jpg)
Rapper Kiernan Jarryd Forbes, maarufu kama AKA na staa wetu Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz wameingia location kushoot video ya collabo yao.
Taarifa ya kufanyika kwa video hiyo imetolewa na AKA kupitia akaunti yake ya Twitter jana Jumapili.
In other news: Off to shoot this video for this AKA X @diamondplatnumz collaboration.
— AKA (@akaworldwide) November 29, 2015
Inavyoonekana video hiyo inashutiwa Afrika Kusini kwasababu Diamond Platnumz yuko huko toka wiki iliyopita.
AKA na Diamond...
10 years ago
Bongo514 Oct
Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston
9 years ago
Bongo524 Nov
Picha: Mayunga akamilisha collabo yake na Akon na kushoot video siku moja, amtumia model wa Chris Brown
![Mayunga na Akon](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mayunga-na-Akon-300x194.jpg)
Kazi iliyompeleka mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi nchini Marekani, ya kufanya collabo na boss wa label ya Konvict Music, Akon imekamilika.
Mayunga ameelezea jinsi kazi hiyo ilivyofanyika kwa siku moja, kuanzia kupewa wimbo kuushika, kurekodi na kushoot video vyote ndani ya saa 24.
“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUANZA MWEZI UJAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
9 years ago
Bongo527 Nov
Video: Alikiba na Sauti Sol washoot video ya collabo yao
![12142150_1495334807428324_1398203255_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12142150_1495334807428324_1398203255_n-300x194.jpg)
Wimbo wa Sauti Sol waliomshirikisha Alikiba haupo kwenye album yao ‘Live and Die in Afrika’ lakini huenda video yake ikatoka mapema.
Kiba ameshare kipande kifupi cha video kikiwaonesha wakiwa kwenye chumba kinachoonekana kama sehemu ya kufanyia video.
“It’s Coming @sautisol #KujuaKaziRahaSana #KingKiba,” ameandika.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 SASA KUANZA MWEZI UJAO !
10 years ago
Bongo512 Jan
T-Pain wa Marekani kuja Tanzania mwezi ujao, kutumbuiza na Diamond kwenye uzinduzi wa Radio mpya, Mwanza
10 years ago
Bongo501 Nov
Video: Emanuel Austin na Ben Pol wakizungumzia collabo yao