Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston

AY yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video mbili kama alivyoahidi hivi karibuni wakati anaachia wimbo wake mpya ‘It’s Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia. Mzee wa Commercial ameshare picha Instagram akiwa location na msanii Mjamaica-Mmarekani Sean Kingston na kuandika: “Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Mayunga akamilisha collabo yake na Akon na kushoot video siku moja, amtumia model wa Chris Brown

Mayunga na Akon

Kazi iliyompeleka mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi nchini Marekani, ya kufanya collabo na boss wa label ya Konvict Music, Akon imekamilika.

Mayunga na Akon

Mayunga ameelezea jinsi kazi hiyo ilivyofanyika kwa siku moja, kuanzia kupewa wimbo kuushika, kurekodi na kushoot video vyote ndani ya saa 24.

“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Hawa ndio New Boyz, waliompa shavu AY kwenye video yake na Sean Kingston

Vijana wa kundi la New Boyz wa Marekani, Earl “Ben J” Benjamin na Dominic “Legacy” Thomas wataonekana kwenye video ya wimbo mpya wa AY aliomshirikisha Sean Kingston. Video hiyo itatoka mwezi ujao. “Kuna jamaa wa New BoyZ jamaa fulani wanahit huku, kuna video wamefanya na jamaa fulani ina view milioni 32, so ni jamaa wakubwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: AY kushoot video ya pili leo nchini Marekani

Baada ya kushoot video ya kwanza nchini Marekani ya wimbo aliomshirikisha Sean Kingston, leo rapper AY anashoot video ya pili. AY amesema video anayoshoot leo ni ya wimbo wake ‘It’s Goig Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia Good. “Na-shoot ‘It’s Goin Down’ leo kila kitu kinaenda sawa na director ni Tim Burton and Chris Mckehnie,” […]

 

10 years ago

Bongo5

AY asema mama yake na Sean Kingston humchukulia kama mwanae,’ hata kwenye Instagram yangu ana comment’

AY amesema kuwa ukaribu alionao na msanii Mjamaica-Mmarekani, Sean Kingston ni zaidi ya urafiki wa kikazi kiasi ambacho wanachkuliana kama kama familia. AY ameiambia Bongo5 kuwa mama yake Sean humchukulia kama mtoto wake na wanawasiliana mara kwa mara. “Yaani huyu jamaa ananipa support asilimia 100 huwezi kuamini ni mtu ambaye si yeye tu hadi mama […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond kuachia nyimbo 4 mfululizo kabla ya March, ikiwemo collabo yake na Fally Ipupa

Mwaka jana mwishoni (2014) baada ya Diamond kukutana na wasanii wakubwa wa Afrika wakiwemo Fally Ipupa na P-Square nchini Nigeria, alisema “nikikutana na 18 huwa naachia bonge la shuti mpaka nishinde” na kauli yake imetimia. Staa huyo wa ‘Ntampata Wapi’ amefanikiwa kufanya collabo na staa wa DRC, Fally Ipupa ambayo ni miongoni mwa nyimbo nne […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Sean Kingston — Wait Up

After a few years away from the spotlight, Sean Kingston is back with a new single called “Wait Up,” which he premiered on the L.A. Leakers. It’s the same kind of upbeat Caribbean R&B we’ve come to expect from him, with a seriously catchy hook. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]

 

9 years ago

Bongo5

Mafikizolo na Diamond kushoot video ya collabo yao December 10

4X7A0037

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limethibitisha kuwa video ya wimbo waliomshirikisha Diamond itafanyika December 10 mwaka huu.

4X7A0037

Taarifa hiyo imetolewa na member wa kundi hilo, Nhlanhla Nciza kupitia Instagram baada ya kumjibu shabiki wa Diamond aliyeuliza sababu ya kuchelewa kwa wimbo huo.

“We are shooting a video with @diamondplatnumz on the 10th of December boss we know you guys have been waiting, one love.”

Wimbo huo ulifanyika mwaka jana.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani