Diamond kuachia nyimbo 4 mfululizo kabla ya March, ikiwemo collabo yake na Fally Ipupa
Mwaka jana mwishoni (2014) baada ya Diamond kukutana na wasanii wakubwa wa Afrika wakiwemo Fally Ipupa na P-Square nchini Nigeria, alisema “nikikutana na 18 huwa naachia bonge la shuti mpaka nishinde” na kauli yake imetimia. Staa huyo wa ‘Ntampata Wapi’ amefanikiwa kufanya collabo na staa wa DRC, Fally Ipupa ambayo ni miongoni mwa nyimbo nne […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jCLoXFxId_E/default.jpg)
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Wizkid na Fally Ipupa waingia studio kufanya collabo
10 years ago
Bongo512 Dec
Nyimbo 2 za Nicki Minaj zavuja siku chache kabla ya album yake kutoka, moja ni collabo yake na Beyonce (zisikilize)
9 years ago
Bongo519 Oct
Diamond kuachia nyimbo 3 kabla mwaka haujaisha
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Diamond, P Square, Fally Ipupa pamoja
BAADA ya kutamba vilivyo na ngoma yake ya “My Number One Remex’ aliyoimba na msanii kutoka Nigeria, Davido, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ anatarajia kupanda...
9 years ago
Bongo501 Dec
Christian Bella kuachia collabo yake na Koffi Olomide kabla Koffi hajatua Bongo
![Bella na Koffi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Bella-na-Koffi-300x194.jpg)
Mwanamuziki mkongwe wa DRC, Koffi Olomide anatarajiwa kuja Tanzania kutumbuiza wiki Ijayo, na hiyo ndio sababu iliyomfanya Christian Bella kupanga kuachia collabo aliyofanya na mkali huyo mapema kabla hajatua Bongo.
Bella ameiambia Bongo5 kuwa wimbo tayari umekamilika na amepanga kuuachia mapema kabla Koffi hajaja ili aweze kutumbuiza naye wimbo huo ambao ni collabo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake.
“Ninajipanga wiki hii au next week ndio nitaachia, kwasababu Koffi anakuja Tanzania...
9 years ago
Bongo516 Oct
P-Square na Fally Ipupa walitamani kuwachukua dancers wa Diamond
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Wiz Khalifa kuachia nyimbo mpya mfululizo
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, anatarajia kuachia nyimbo zake mpya Januari hii.
Msanii huyo mwezi uliopita aliachia ‘Mixtape’ lakini mwezi huu anatarajia kuachia nyimbo zake kwa mfululizo.
“Hakuna mtu yeyote ambaye anajua nini ninataka kukifanya kwa sasa, ninatarajia kuachia kazi zangu mpya mfululizo ambazo nimezipa jina la ‘Project Khalifa,” alisema Wiz.
Msanii huyo amesema kuwa mwaka huu amejipanga kuachia kazi ambazo zitasumbua kama ilivyo...
10 years ago
Bongo514 Oct
Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston