Diamond kuachia nyimbo 3 kabla mwaka haujaisha
Diamond Platnumz amedai kuwa kabla mwaka huu haujaisha atakuwa ameachia nyimbo 3 mpya. Diamond alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni wakati ya mapokezi yake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea Marekani alikoshinda tuzo za Afrimma. “Nimeuambia uongozi kabla ya mwezi wa kwanza hapa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Feb
Diamond kuachia nyimbo 4 mfululizo kabla ya March, ikiwemo collabo yake na Fally Ipupa
9 years ago
Bongo510 Nov
Diamond: Nyimbo na Video ninazoenda kuachia mwaka huu zitakuwa ni historia hadi siku ntapozikwa!
Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao waliahidi kuachia kazi mpya baada ya uchaguzi, na kati ya kazi alizofanya, inayosubiriwa kwa hamu zaidi ni wimbo aliomshirikisha staa wa RnB kutoka Marekani, Ne-Yo.
Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.
Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Kabla mwaka haujaisha huu ni ushindi mwingine kwa staa wa tennis duniani…
Staa wa tennis duniani Andy Murray ameingia kwenye headlines baada ya kuibuka mshindi katika nafasi ya mchezaji bora wa mchezo huo kupitia tuzo za BBC. Murray aliibuka mshindi akiwa huko huko Ireland mbele ya umati mkubwa wa watu waliohudhuria katika shughuli hiyo. Huu ni ushindi wa pili kwa Murray kupitia tuzo hizo katika kipindi cha miaka […]
The post Kabla mwaka haujaisha huu ni ushindi mwingine kwa staa wa tennis duniani… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo506 Jan
Amini kuachia nyimbo 24 na video 24 mwaka huu
![amini](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/amini-300x194.jpg)
Msanii wa muziki, Amini ameweka wazi mipango yake mipya ya mwaka huu kwenye muziki wake.
Miongoni mwa mambo ambayo amepanga kuyabadilisha kwenye utaratibu wake wa kufanya muziki ni kuongeza idadi ya nyimbo ambazo huachia kwa mwaka mzima.
“Plan zangu za kwa 2016 ziko tofauti kidogo na 2015, kwasababu 2015 nilikuwa natoa nyimbo kwa kusikilizia labda wimbo mmoja unaweza ukakaa mwaka mzima.” Alisema Amini kwenye mahojiano na Bongo5.
“Lakini kwa 2016 kila mwezi nitakuwa natoa nyimbo mbili kila...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-JZzINbu64jM/VZjz_G1mcfI/AAAAAAAAN7I/BCtwckRxezI/s72-c/1.jpg)
KUMBE DIAMOND ALIFANYA NYIMBO ISHIRINI KABLA YA KUTOKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-JZzINbu64jM/VZjz_G1mcfI/AAAAAAAAN7I/BCtwckRxezI/s640/1.jpg)
Kampuni ya Coca-Cola Afrika ya Kati, Mashariki na Magharibi imezindua kampeni mahsusi ijulikanayo kama ‘Sababu Bilioni za Kuamini’ inayolenga kuwahamasisha vijana wa Kitanzania kujiamini pindi wanapopita katika changamoto mbalimbali zinazowakabili kimaisha kabla ya kutimiza ndoto zao. Kampeni hiyo ya miezi mitatu itaendeshwa nchi nzima.Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ni miongoni mwa vijana wanaotolewa mfano katika dhana hii. Alitengeneza single...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Ney wa Mitego kuachia nyimbo sita
NA THERESIA GASPER
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Elibariki Emanuel ‘Ney wa Mitego’, amefunguka kuwa mwaka huu anataka kuja kivingine tofauti na miaka ya nyuma.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Ney wa Mitego alisema amekuwa akitoa nyimbo mbili au tatu kwa mwaka lakini katika mwaka huu anataka kuachia nyimbo sita.
“Nimekuwa nikitoa nyimbo mbili kwa mwaka au tatu, kwa sasa nataka nizidi kuwapa raha mashabiki wangu kwa mambo mazuri ambayo nimewaandalia mwaka huu, nitaachia nyimbo sita...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Wiz Khalifa kuachia nyimbo mpya mfululizo
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, anatarajia kuachia nyimbo zake mpya Januari hii.
Msanii huyo mwezi uliopita aliachia ‘Mixtape’ lakini mwezi huu anatarajia kuachia nyimbo zake kwa mfululizo.
“Hakuna mtu yeyote ambaye anajua nini ninataka kukifanya kwa sasa, ninatarajia kuachia kazi zangu mpya mfululizo ambazo nimezipa jina la ‘Project Khalifa,” alisema Wiz.
Msanii huyo amesema kuwa mwaka huu amejipanga kuachia kazi ambazo zitasumbua kama ilivyo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeFs68z8qSVYtQ6VJJcAy*51*CntTAsyoxa-N*Ew0Mwe20aJ-kUidSW5GNEcvuLOl1*wg-XQLLCh*agexb2OL3gB/lulu.png?width=650)
ALICHOKISEMA LULU BAADA YA ALI KIBA KUACHIA NYIMBO MPYA
10 years ago
Bongo507 Jan
Noorah: Nilikata tamaa ya kuachia nyimbo baada ya ngoma mbili kali za mwisho kuchukuliwa poa